Ushauri juu ya biashara ya kitimoto

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Jamani mie nina plan ya kufuga kitimoto kwa wingi. Nimesha fuatilia kwa karibu gharama infmashen nyingi ila kabla sijaanza ufugaji wenyewe naomba nijue kuhusu soko.

Nia yangu ni kufuga na kuuza wakiwa wazima (sio kuuza nyama) kwa hivyo naomba ajuaye anifahamishe wapi lilipo soko zuri la hii nyama nzuri. Soko hilo lipoje(kama kwa kilo ni bei gani)? Kwa uwezo wangu na plan yangu naweza kutoa kitimoto sio chini ya 50 kila awamu.

Mimi nipo Mwanza.

Ninaomba kufahamishwa please.
 
Ile nyama hailali hivyo haina haja kuogopa wala nin ila chunga yafuatayo kwenye ufugaji wako:

1.Usiwe mzembe kuwahudumia chakula na dawa na usafi maana hawa wanyama rahisi sana kudumaa kama utakuwa mzembe

2.Chuki kutoka kwa ndugu zetu wana uamsho nafikili unatambua Total loss concep(kuwekewa sumu)

3.Hakikisha chakula chao kinapatikana karibu tena kwa bei poa nasema hivi ili uepuke gharama maana vyakula vyao vimepanda sana
 
Ile nyama hailali hivyo haina haja kuogopa wala nin ila chunga yafuatayo kwenye ufugaji wako:
1.usiwe mzembe kuwahudumia chakula na dawa na usafi maana hawa wanyama rahisi sana kudumaa kama utakuwa mzembe
2.chuki kutoka kwa ndugu zetu wana uamsho nafikili unatambua Total loss concep(kuwekewa sumu)
3.hakikisha chakula chao kinapatikana karibu tena kwa bei poa nasema hivi ili uepuke gharama maana vyakula vyao vimepanda sana

Usiogope Mkuu sheria ipo itawafunga ndani. Kuna wa2 walifanya hivyo wakalipa fidia ya ukweli...

Nguruwe anafaida sana mkuu. Na wala hana Gharama kubwa kama Wanyama wengine kwenye Vyakula.
 
Kweli wakuu! Nitazingatia, ila ningesaidikasana kwamfano mtu angenambia kwa maeneo kama ya mwanza ni sehem gani hasa soko lake lilipo. au kokote kule, ni juu yangu kukokotoa na kuona.

Faida.
 
Jamani wadau naomba kwa mtu yeyote hasa wa maeneo ya Mbeya, Iringa na Singida anipe details kuhusu upatikanaji wa Kitimoto, nataka nianze biashara yakununua kitimoto nakuwasafirisha Dar es salaam.
 
Tuwasiliane wapo Morogoro ndugu yangu just PM
Jamani wadau naomba kwa mtu yeyote hasa wa maeneo ya Mbeya, Iringa na Singida anipe details kuhusu upatikanaji wa Kitimoto, nataka nianze biashara yakununua kitimoto nakuwasafirisha Dar es salaam.
 
Habari ya asubuhi wanajamvi

Katika harakati zangu za kuongeza kipato hasa kwa kuzingatia ugumu wa maisha ulivyo hivi sasa, nimevutiwa na biashara ya kufuga kitimoto kwa ajili ya kuuza ambayo nasikia inalipa sana.

Nimeandaa shamba tayari maeneo ya Kongowe lakini sina uhakika juu ya gharama halisi ya kuwakuza wanyama hao hadi kufikia maturity.

Naomba ushauri wenu juu ya hili. Nitaappreciate kama nitapata mchanganuo kuanzia vyakula madawa na gharama za kuwaingiza sokoni.

Napenda kuanza na nguruwe kumi wa majaribio.

Msaada wenu please!
 
Habari ya asubuhi wanajamvi

Katika harakati zangu za kuongeza kipato hasa kwa kuzingatia ug
umu wa maisha ulivyo hivi sasa, nimevutiwa na biashara ya kufuga kitimoto kwa ajili ya kuuza ambayo nasikia inalipa sana.

Nimeandaa shamba tayari maeneo ya Kongowe lakini sina uhakika juu ya gharama halisi ya kuwakuza wanyama hao hadi kufikia maturity.

Naomba ushauri wenu juu ya hili. Nitaappreciate kama nitapata mchanganuo kuanzia vyakula madawa na gharama za kuwaingiza sokoni
Napenda kuanza na nguruwe kumi wa majaribio.

Msaada wenu please!
Nenda jukwa la uchumi mada za aina hii zimefafanuliwa vizuri sana.
 
Bg up kwa mawzo kama hayo,ktkk kipindi cha kujikwamua na lindi la ufukara. Cyo mtaalamu saana bt kutokana na uzoefu i can say sth. Cha kwanza jipange ishu ya chakula cozi ndo tatzo(Mashudu na pumba ya mahindi mara chache ya mpunga kama unaweza waweza changanya.)dawa ya minyoo na sindano za vitamini ni mahitaji madogo ambayo yako affordable afu yana interval not oftenly.

Jiami ishu ya vyakula first baada ya miezi 6 unaweza ukaanza kupata wazo la kupata Out put. Maturity inategemea na wewe unataka yakue kivip. Madume kwa biashara yanakuwa faster
 
Bg up kwa mawzo kama hayo,ktkk kipindi cha kujikwamua na lindi la ufukara. Cyo mtaalamu saana bt kutokana na uzoefu i can say sth. Cha kwanza jipange ishu ya chakula cozi ndo tatzo(Mashudu na pumba ya mahindi mara chache ya mpunga kama unaweza waweza changanya.)dawa ya minyoo na sindano za vitamini ni mahitaji madogo ambayo yako affordable afu yana interval not oftenly. Jiami ishu ya vyakula first baada ya miezi 6 unaweza ukaanza kupata wazo la kupata Out put. Maturity inategemea na wewe unataka yakue kivip. Madume kwa biashara yanakuwa faster

Poa nimekuelewa Godwishes na inachukua mda gani hadi mnyama kukua kufikia kwenda sokoni kiwastani
 
Last edited by a moderator:
Wadau kuna hili wazo la biashara ya kununua nguruwe huko Morogoro kuchinja na kuleta hapa Dar, ofcourse itahitaji uwe na order kwenye vituo vya kuuzia nyama ya nguruwe, kwenye mabaa na watu binafsi.

Unanunua nguruwe wa 100 kg kwa TZS 300,000/- unachinja na kuondoka na nyama fasta hadi Dar unaanza kusupply. Unaweza beba wawili hadi wanne kutokana na usafiri unaotumia na maandalizi uliyoweka.

Kama wapo wadai ambao wanaielewa hii biashara mazuri na mabaya mnijuze tafadhali.

Samahani wa wadau ambao hii ni haramu kwao.

Natanguliza shukrani.
 
Nilisha fanya Hii Kitu na jamaa yangu,Uzuri Sisi soko tulikuwa nalo tayari japo halikuwa Kubwa sana.Changamoto kubwa ilikuwa upatikanaji wa hao nguruwe huko morogoro.

Inabidi uzunguke maeneo mengi Mengi ili kupata na kuna Wakati inabidi usubiri muda kidogo mpaka wapatikane Kwahiyo unakuwa huna constant supply kwa Wateja wako

Kwahiyo kikubwa ni soko la uhakika lakini zaidi ni upatikanaji wa hao nguruwe kwa wakati

Kila la kheri
 
XFACTOR

Asante, kwa utafiti wako nikuulize soko ambalo ulikuwa nalo lilikuwa linachukua mzigo wote ama kwa gawio. Halafu si ulipasie hizo contacts mkuu:cool2:.
 
wakuu itifak imezngatiwa.

nataka kuanza iyo biashara ila mtaji wangu ni mdogo ,,natafuta mtu mwenye mtaji mkubwa ili tukienda kununua ng'ombe mikoani kuleta dsm nitakuwa naongozana nae nitamsaidia kazi zingine ndogo ndogo bila malipo ila atanisaidia kuweka ng'ombe au kitimoto wangu sita au saba ili nami nianze mdogo mdogo.

ambaye yuko tayari ani PM.
 
Kilo moja ya kitimoto ni rejareja ni sh. 10000 bado ndizi 500 na kanjumbari 1000 na bei ya jumla wanakochinjia nguruwe ni sh 5500-6500 kws hiyo nguruwe is the best buzinezz!!
 
Back
Top Bottom