Soko la Kitimoto likoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la Kitimoto likoje?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Tasia I, Jun 7, 2012.

 1. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani mie nina plan ya kufuga kitimoto kwa wingi.
  nmesha fuatilia kwa karibu gharama infmashen nyingi ila
  kabla sijaanza ufugaji wenyewe naomba nijue kuhusu soko.
  nia yangu ni kufuga na kuuza wakiwa wazima (sio kuuza nyama)
  kwa hivyo naomba ajuaye anifahamishe wapi lilipo soko zuri la hii nyama nzuri.
  soko hilo lipoje(kama kwa kilo ni bei gani)?
  kwa uwezo wangu na plan yangu naweza kutoa kitimoto sio chini ya 50 kila awamu.

  Mimi nipo mwanza.

  Nnaomba kufahamishwa please.
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,325
  Likes Received: 2,318
  Trophy Points: 280
  Ile nyama hailali hivyo haina haja kuogopa wala nin ila chunga yafuatayo kwenye ufugaji wako:
  1.usiwe mzembe kuwahudumia chakula na dawa na usafi maana hawa wanyama rahisi sana kudumaa kama utakuwa mzembe
  2.chuki kutoka kwa ndugu zetu wana uamsho nafikili unatambua Total loss concep(kuwekewa sumu)
  3.hakikisha chakula chao kinapatikana karibu tena kwa bei poa nasema hivi ili uepuke gharama maana vyakula vyao vimepanda sana
   
 3. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Usiogope Mkuu sheria ipo itawafunga ndani. Kuna wa2 walifanya hivyo wakalipa fidia ya ukweli...

  Nguruwe anafaida sana mkuu. Na wala hana Gharama kubwa kama Wanyama wengine kwenye Vyakula.
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kweli wakuu!
  nitazingatia, ila ningesaidikasana kwamfano mtu angenambia kwa maeneo kama ya
  mwanza ni sehem gani hasa soko lake lilipo. au kokote kule, ni juu yangu kukokotoa na kuona
  faida.
   
 5. BABA TUPAC

  BABA TUPAC JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2016
  Joined: Sep 30, 2015
  Messages: 895
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 180
  Vipi mkuu ulianza kufuga nguruwe? Wanalipa?
   
 6. gervasy

  gervasy Member

  #6
  Jan 12, 2016
  Joined: Apr 24, 2015
  Messages: 90
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 15
  nguruwe wanalipa sana mkuu.mm nimejenga mabanda kijijin kwetu njombe kama eneo la hekali moja hv.niliona jinsi jamaa yangu anavyooingza pesa kwa biashara ya nguruwe.ushauri wangu kwako unapoanza kufuga nguruwe hakikisha chakula mda wote kinapatikana na pia chagua nguruwe ambao wanzaa watoto weng yaan mbegu nzur.mm Nina nguruwe ambaye anzaa watoto hadi 15..huku mbeya nguruwe ukimtunza sana ndani ya miez 9 ukosi kumuuza lak 450000_50000
   
 7. BABA TUPAC

  BABA TUPAC JF-Expert Member

  #7
  Jan 13, 2016
  Joined: Sep 30, 2015
  Messages: 895
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 180
  Hongera mkuu
   
 8. Danpol

  Danpol JF-Expert Member

  #8
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 1,685
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  Mkuu naweza pata mawasilianao yako? Niwafuga ila hii mbegu yako sina naihitaji
   
 9. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #9
  Jan 13, 2016
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
 10. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #10
  Jan 13, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  mbona tofauti ya bei kubwa sana? Yaani laki nne na nusu hadi elfu hamsini
   
 11. Danpol

  Danpol JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2016
  Joined: Aug 15, 2013
  Messages: 1,685
  Likes Received: 1,152
  Trophy Points: 280
  Elf hamsin watoto... Yaan hapo kaweka bei ndgo zaid na kubwa zaid... hapo katikat wapo weng tu wanauzika hapo, wapo wa lak 2, lak 80, lak 3 n. k
   
 12. Kisambo

  Kisambo JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2016
  Joined: Dec 1, 2014
  Messages: 610
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 60
  Mi mwenyewe mkuu nina nguruwe nilitaka nioanur huo mrad na kufikisha Nguruwe 50 kwa mwaka huu
   
 13. mjingamimi

  mjingamimi JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2016
  Joined: Aug 3, 2015
  Messages: 11,269
  Likes Received: 9,031
  Trophy Points: 280
  haramu hyo
   
 14. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2016
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Haramu nguruwe siyo nyama, kwani watu wanakula nguruwe au nyama?
   
 15. l

  laki si pesa. JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2016
  Joined: Jul 14, 2015
  Messages: 8,289
  Likes Received: 6,690
  Trophy Points: 280
  biashara haramu hiyo haina tofauti na bange
   
 16. bakari bakari 1

  bakari bakari 1 Senior Member

  #16
  Jan 14, 2016
  Joined: Jul 7, 2015
  Messages: 172
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Hahaahaa.. Et haina tofaut na bangi kwel mkuu mijitu mingine bana kaz kubishana tu na mungu imeshaambiwa huyo mdudu haramu haisikii tu mbona kuna biashara nzur tu za halal mpaka tu mng'ang'anie tu hayo manguruwe? Din zote znakataza hayo madudu yasiliwe hamsikii tu
   
 17. benjaminy

  benjaminy Member

  #17
  Jan 14, 2016
  Joined: Nov 15, 2015
  Messages: 38
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Wewe mwenyewe unakula kwa siri halafu udanganya wenzio wasile...dini mojo tu ndo inakataza lkn nyingine ni chochote kimuingia mtu kinywani hakimtii unajisi....
   
 18. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #18
  Jan 16, 2016
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nguruwe wanalipa sana
   
 19. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2016
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Wanalipa kodi au nauli?
   
 20. k

  king90 JF-Expert Member

  #20
  Jan 20, 2016
  Joined: Apr 18, 2014
  Messages: 282
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Duu! kuna watu ni wagumu kuelewa.
   
Loading...