Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Aaaaagh dadeq aiseee maumivu wadau imagine Mimi nikipoteza jero tu hua najisonya Sasa angalia Mali iliyoteketea mule ndani aiseee inauma Sana wakuu tatizo miundombinu ya pale imekaa ovyo Sana yaani makolo kolo yamezunguka soko Kila pande Kwa zimamoto ya bongo pale lazima wangefeli tu kuucontrol Moto maana hapana mpangilio mzuri

Pole Yao Sana ndugu zetu waliopotea Mali wakaze roho tu kiaina Haina namna
Daaaaaaa!
,😥😥😥😥😥
 
Hawa kazi yao kusumbus tu wafanyabiashara kila kuchao kwa kuwadai certificate za fire ila kuzima bado labda liundwe jipya
 
Zimamoto magari ya kuzimia moto mabovu, maji hayana kabisa, kufanya mpaka muda huu saa 4 hakuna dalili ya kuzimika.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Makamanda hawajai kuokoa kitu wala kuzibiti moto,huwa wanajisifia wamezuia moto usisambae maeneo ya mbali kumbe ni kwamba moto umezimika wenyewe baada ya kutafuna source zote za fuel.
 
Back
Top Bottom