Soko la Kariakoo lateketea kwa moto

Kuna watu wangekua victimized. Wangewekwa ndani kinyume na sheria hata wasiohusika! Utawala wa sheria ilikua ni msamiati mgumu sana kipindi kile
 
Ni zaidi ya miezi miwili sasa tangu Majaliwa alipoamrisha ripoti ya moto sokoni Kariakoo uliotokea July 10th iwe tayari baada ya siku saba.
 
Back
Top Bottom