Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

iyo ni bidhaa kama zilivyo zingine role ya demand and supply aibadiliki ikiweka sokoni kama kuna wateja inauzika.
 
Naomba kueleweshwa, unaweza kushindwa kuuza shares zako za kampuni ambayo gharama ya shares zake haijabadilika au inaongezeka?

Nimenunua shares kwenye LSE ni wonder kama baadae nitashindwa kuziuza.

Siku zote utaweza kuuza shares zako in LSE. Labda kama imetokea terrorists attack kwenye LSE, wanaweza kuifunga kwa siku moja au wiki moja. Lakini baada ya hapo wataifungua tena na utaweza kuuza share zako.
 
iyo ni bidhaa kama zilivyo zingine role ya demand and supply aibadiliki ikiweka sokoni kama kuna wateja inauzika.
Bidhaa ni rahisi kujua ina uzika au sio. Utaona wewe mwenyewe ongezeko lake na pia utasikia. Lakini kwenye shares mambo yote yanafanyika kwenye keyboard. Kitu gani cha kuangalia?
 
Siku zote utaweza kuuza shares zako in LSE. Labda kama imetokea terrorists attack kwenye LSE, wanaweza kuifunga kwa siku moja au wiki moja. Lakini baada ya hapo wataifungua tena na utaweza kuuza share zako.
Ninachotaka kujua pia unaweza kutaka kuuza shares zako leo ukashindwa kupata buyers na ikachukua miezi?
 
Bidhaa ni rahisi kujua ina uzika au sio. Utaona wewe mwenyewe ongezeko lake na pia utasikia. Lakini kwenye shares mambo yote yanafanyika kwenye keyboard. Kitu gani cha kuangalia?
sawa mkuu kuna kitu kinaitwa liquidity. itategemea na demand ya izo shares kwamba ukiziweka sokoni zitatoka haraka au zitasubiri. kinachofanyika ni ku match offer and order.
 
Ninachotaka kujua pia unaweza kutaka kuuza shares zako leo ukashindwa kupata buyers na ikachukua miezi?

No, uwezi kushindwa kuuza. Swali kubwa ni at what price are you willing to sell for? Kama hakuna demand ya share zako price will go down until it reach certain point investors think there is value and many investors will buy. If there high demand the shares price will go up. If there high demand the shares price will go up. The LSE is very liquid market.

Kama unajua jina la hiyo Kampuni kwenye soko la LSE unaweza kuangalia share ngapi zinauzwa na kununulia kila siku. Historical high and low point of the share price and how the share have perform up to the last 5 years. Ulinunua hisa kupitia kwa Broker? and Kama ulitumia Broker anaweza kukuambia kila kitu.
 
sawa mkuu kuna kitu kinaitwa liquidity. itategemea na demand ya izo shares kwamba ukiziweka sokoni zitatoka haraka au zitasubiri. kinachofanyika ni ku match offer and order.
Nimekupata lakini ku order unaweza kunifafanulia zaidi?
 
No, uwezi kushindwa kuuza. Swali kubwa ni at what price are you willing to sell for? Kama hakuna demand ya share zako price will go down until it reach certain point investors think there is value and many investors will buy. If there high demand the shares price will go up. If there high demand the shares price will go up. The LSE is very liquid market.

Kama unajua jina la hiyo Kampuni kwenye soko la LSE unaweza kuangalia share ngapi zinauzwa na kununulia kila siku. Historical high and low point of the share price and how the share have perform up to the last 5 years. Ulinunua hisa kupitia kwa Broker? and Kama ulitumia Broker anaweza kukuambia kila kitu.
Asante kwa somo.

Nimenunua kupitia trading platform. Ukiongea nao kwenye simu wanasisitiza usome kwenye website yao.

Nimenunua jana dakika 10 kabla LSE hawajafunga market na mpaka sasa hivi zimeshaongezeka thamani karibia £100. Nilisita kununua Monday ningekuwa zimeshaongeza karibia £300. I can't complain ukichukulia ni mara yangu ya kwanza kujiusisha na shares.

It seems I'm not learning the hard way!!
 
Goodluck, Lakini kumbuka shares zinaweza kwenda juu au kushuka jini. Ni vizuri kuanza kidogo kidogo na kwenda taratibu.
 
Mkuu,
If all goes well I will do as a part time!
Nimeanza peso kidogo. The amount I can afford to lose.

Nina jaribu kufutilia Tesla kwa karibu lakini car manufacturer ni very high risk investment hasa sasa hivi wakongwe wanatabiri market crash na pia uchumi ukiyumba the first victim ni car maker.
 
Tesla is good shout. You are looking at the right places. The share price have gone up by 50% since start of the year. In the past two days the share price have gone up over 7%. I expect Tesla to do well in the short term to medium term before other giants in car industry catch up with them.

Tesla they have huge demands for the their products ( excellent electric cars) but they have problem with their production capacity. Sometimes waiting period is up to 2 years for their cars. So at some point they will have to borrow money in order to increase their capacity and reduce lag time. (When people order their car and put down deposit and when they actually get the car)

Are you short term, medium term or Longterm investor?
 
Sorry for the delayed response.
Spot on! and Tesla battery is the best, it offers 250miles of range compared to other EVs are less 100miles.
But Tesla models are relatively expensive.

My plan is short term.
 
They are producing best Electric cars at the moments, but in the long run other big companies will catch up with them. Therefore it is important they take advantage of the position to increase production and in the medium to long run reduce price for their cars.

I just heard yesterday they are planning to to sell $1.5 billion worth of bonds. That is smart move, they will be able to produce more cars and reduce waiting time to their customers.

If you are short term Investor, you should be relatively fine. But nothing in investing is 100% safe.
 
Thank you.
Recently, I have been checking some companies, highs and lows, when to buy and when to offload them.
Fingers crossed!
 
Back
Top Bottom