Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 3,889
- 5,345
Kaeleza mwanzo!Wadau wa jukwaa hili najitokeza leo kwa mara ya kwanza kuomba msaada hasa kwa wale wana uchumi wenzetu juu ya somo la hisa. Ningependa kujua juu ya haya mambo kuhusiana na mada hii.
a) Hisa ni nini??
b) Naweza kuzimiliki kivipi?? ni kimaanisha umri, na kiasi na wapi?? kwa masharti gani??
c) Nitapata faida gani kwenye umiliki wa hizo hisa??
d) Je nitapataje gawiwo langu kwenye umiliki wa hisa?
e) Hasara zipatikanazo kwa ununuzi wa hisa.
f) Nitaijuaje bei ya hisa ama kuna hisa zinauzwa??
g) Kwa maisha ya kitanzania is this bussiness valid and does it pay??