Soko la hisa kufunguliwa wageni

sodoliki

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
2,594
2,016
hii ni kuwagandamiza watanzania tena, kwanza uchumi mmeudumaza na watanzania wengi wameshindwa kununua hisa za Vodacom, sasa mmetunga sheria kulazimisha makampuni ya simu yauze hisa DSE, na mnaruhusu wageni, hii ni danganya toto, sawa na kutoa mfuko wa kushoto kuweka mfuko wa kulia. Hii tena watanzania mmewapiga changa la moto. hongereni
 
Umeitoa wapi hii habari? Kama ni kweli inaweza kuwa kunusuru hisa za Vodacom ambazo hazijauza vizuri na makampuni mengine ya simu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom