Soko la Hisa (DSE) limesema idadi ya mauzo kwa wiki iliyopita yamepungua kwa 77%

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
Habari za muda wakuu,

Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limesema idadi ya mauzo kwa wiki iliyopita yamepungua kwa 77% hadi kufikia Sh. bilioni 6.6 kutoka Sh. bilioni 29.1

Pia ndugu zangu hata ukubwa wa mtaji wa soko umeshuka kwa kiasi cha asilimia 0.6 hadi kufikia Sh Trilion 21.7 kutoka Sh Trilion 21.8.

Nako katika sekta ya viwanda huko nako wiki hii imeongezeka kwa point 1.72 baada ya bei za hisa za kampuni ya simu TCCL kupanda kwa asilimia 3.13 na kampuni ya TOL kwa asilimia 1.27.

Chanzo: Raia Tanzania
 
Huko ndiyo ilikuwa chaka la mafisadi kufichia hela zao, sasa wamedhibitiwa watanunua na hela ipi
 
Its a shocking scenario for capital markets but this is transition period and the true economic growth will prevail later
 
Duhhhhh labda aliyesababisha ni yule aliyekuwa anaiba milioni saba kila dakika, rais ameshamtumbua na kumuweka mahali salama nadhani uchumi utapaaaaaaaaa

kazi ipo, bandarini kupo ziii, soko la hisa lipo ziii, sabasaba kupo ziii, mtaani biashara zote hivyo hivyo,

ila napenda iwe hivi, watakaoumia wengi ni masikini kwa kuwa ajira watapoteza, watajua kutumia akili na kutafuta vizuri na pia hata maamuzi sahihi ya viongozi, kumbuka KISICHOKUUWA KINAKUKOMAZA

matajiri watatikisika kidogo lakini kula bado watakula
 
Back
Top Bottom