Soko la dhahabu Geita limeingiza Tsh trilioni 1 kwa miaka mitatu

Sasa Trilioni moja kwa miaka mitatu ni around milioni miatatu na ushee au milioni 27 kwa mwezi au laki tisa hivi kwa siku; ambayo ni pesa ya kawaida sanaaaa. Hivi unajua Bakhresa kwa Mwaka mmoja anaingiza sh ngapi???
Rudi shule mjinga wewe, trillion moja kwa miaka 3 ni sawa ni 333bn kwa mwaka na sio 333ml kwa mwaka. Hiyo ni sawa na bajeti ya baadhi ya wizara nzima kabisa.
 
Broo geita kuna mining activity landing ya pale changamoto! Mbona airtanzania inatua chato mara tatu kwa week!
Hamna kitu kama hicho,ndege ndogo inatua hadi ndani ya mgodi wa GGM halafu unaniambia Geita landing changamoto?
Hahahaa,hii sababu ndio nasikia leo!
 
Rudi shule mjinga wewe, trillion moja kwa miaka 3 ni sawa ni 333bn kwa mwaka na sio 333ml kwa mwaka. Hiyo ni sawa na bajeti ya baadhi ya wizara nzima kabisa.

Sasa Trilioni moja kwa miaka mitatu ni around milioni miatatu na ushee au milioni 27 kwa mwezi au laki tisa hivi kwa siku; ambayo ni pesa ya kawaida sanaaaa. Hivi unajua Bakhresa kwa Mwaka mmoja anaingiza sh ngapi???
Wewe unafikiri kwa kutumia matako! Hivyo ndo umefundishwa hesabu? Stupid!
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom