mtanzania1989
JF-Expert Member
- May 20, 2010
- 4,064
- 6,733
Rudi shule mjinga wewe, trillion moja kwa miaka 3 ni sawa ni 333bn kwa mwaka na sio 333ml kwa mwaka. Hiyo ni sawa na bajeti ya baadhi ya wizara nzima kabisa.Sasa Trilioni moja kwa miaka mitatu ni around milioni miatatu na ushee au milioni 27 kwa mwezi au laki tisa hivi kwa siku; ambayo ni pesa ya kawaida sanaaaa. Hivi unajua Bakhresa kwa Mwaka mmoja anaingiza sh ngapi???