Soko la dhahabu Geita limeingiza Tsh trilioni 1 kwa miaka mitatu

Idadi kubwa ya watu ni mtaji,mifugo,samaki ardhi bora tembea uone hata wanawake wa huku wako POA sana

USSR
Wanawake wanaozaa albino na wameathiriwa na zebaki nani aoe? Afu Wana mamiili makubwa akinenepeana anakuwa mzigo,magonjwa ya miguu, pressure wala siwezi labda kutafuna na kusepa sio kuoa..

Pili huko hamna ardhi ya kutosha mifugo yote imeletwa Kusini,mvua chenga labda uvuvi tuu..

Idadi kubwa ya watu ni mtaji kama wako productive na Wana purchasing power kinyume chake ni mzigo mzito.

Wilaya kama Sengerema ni huzini tupu watu mnatia huruma sana huko Lake zone.
 
Utajiri ulioko kanda ya ziwa haulinganishwi na kanda yoyote Tanzania, kwa mazao ya kilimo, pamba, tumbaku, Alizeti, Dengu, choroko, Mahindi, Nanasi. Kwa mazao ya ziwa kuna samaki na dagaa, kwa utalii kuna mbuga za Serengeti, Burigi Chato, Maswa game reserve wanakopatikana FARU kwa wingi.Upande wa Madini kuna Almasi shinyanga, Dhahabu iko Kahama, Shinnyanga, Mara, Mwanza, Simiyu, Bati mkoani Kagera. Kanda ya ziwa ina mtaji wa watu zaidi ya 1/3 ya wakazi wote Tanzania.
Ni ukanda pekee wenye wilaya yenye hadhi ya Manispaa, ukiondoa Dar-es-salaam.
Onyesheni heshima kwa Lake zone
 
Maneno mengi Sana ila sasa hiyo Kanda inayotajwa yenye utajiri kuliko Kanda zingine ndio inaongoza kwa umaskini 😀😀😀..

Hivi wewe uko serious kweli kwamba Kanda ya Ziwa ndio ina utajiri kuliko Kanda yoyote?..

Kanda ya Pwani kwa mfano Bandari tuu inazidi hizo takataka zote hapo juu,hapo hujataja mali zingine kama population..

Kanda ya Nyanda za Juu na Kusini kuna madini ya mabilioni kuliko hizo dhahabu,madini ya chuma,rare earth metals,ardhi kubwa,Hali ya hewa ya uhakika,kilimo cha kila aina,misitu na Mazao yake, biashara za mipakani,uvuvi wa maziwa,na idadi kubwa tuu ya watu na untapped tourism industry..

Kwa taarifa yako unaweza itambia Kanda ya Kati labda na Western kidogo ila sio Kanda zingine,tukigawana fito mtaumia..
 
Wanawake wanaozaa albino na wameathiriwa na zebaki nani aoe? Afu Wana mamiili makubwa akinenepeana anakuwa mzigo,magonjwa ya miguu, pressure wala siwezi labda kutafuna na kusepa sio kuoa..

Pili huko hamna ardhi ya kutosha mifugo yote imeletwa Kusini,mvua chenga labda uvuvi tuu..

Idadi kubwa ya watu ni mtaji kama wako productive na Wana purchasing power kinyume chake ni mzigo mzito.

Wilaya kama Sengerema ni huzini tupu watu mnatia huruma sana huko Lake zone.
Kwa akili ndogo na chafu iliyojaa mbege inafikiri wanawake ndio wanaleta albino

Unajua shida ya zebaki hapo Kilimanjaro au shule ilikupita pembeni

USSR
 
Maneno mengi Sana ila sasa hiyo Kanda inayotajwa yenye utajiri kuliko Kanda zingine ndio inaongoza kwa umaskini ..

Hivi wewe uko serious kweli kwamba Kanda ya Ziwa ndio ina utajiri kuliko Kanda yoyote?..

Kanda ya Pwani kwa mfano Bandari tuu inazidi hizo takataka zote hapo juu,hapo hujataja mali zingine kama population..

Kanda ya Nyanda za Juu na Kusini kuna madini ya mabilioni kuliko hizo dhahabu,madini ya chuma,rare earth metals,ardhi kubwa,Hali ya hewa ya uhakika,kilimo cha kila aina,misitu na Mazao yake, biashara za mipakani,uvuvi wa maziwa,na idadi kubwa tuu ya watu na untapped tourism industry..

Kwa taarifa yako unaweza itambia Kanda ya Kati labda na Western kidogo ila sio Kanda zingine,tukigawana fito mtaumia..
Kanda yako iliyojaa walevi hadi wanawake wanakwenda kuazima manii Kenya husemi

Nimekutajia utajiri wa kanda ya ziwa na wewe leta ya kwenu

USSR
 
Nenda huko ukajiridhishe! Mlishakariri kila maendeleo ni nyinyi! Nenda hata kwenye vituo vya mabasi nyegezi , kahama,geita ,buzuruga uniambie mwenye magari pale ni nani? Nakuambia asilimia 80% ni wenyeji! Baki kujilisha upepo!
Tangu lini gari likawa utajiri

USSR
 
Utaambiwa Geita hawafai kupata maendeleo wala barabara ila mchango wao wa kodi kutoka kwenye madini wanataka kunyonya tu.
Sasa Trilioni moja kwa miaka mitatu ni around milioni miatatu na ushee au milioni 27 kwa mwezi au laki tisa hivi kwa siku; ambayo ni pesa ya kawaida sanaaaa. Hivi unajua Bakhresa kwa Mwaka mmoja anaingiza sh ngapi???
 
Acha upumbavu inamaana wanazalisha madini tu ,unajua ng'ombe wagapi ,mbuzi wangapi, pamba,mahindi, ulezi, mchele, maziwa, kahawa au unajipa ujinga tu
 
Kwa akili ndogo na chafu iliyojaa mbege inafikiri wanawake ndio wanaleta albino

Unajua shida ya zebaki hapo Kilimanjaro au shule ilikupita pembeni

USSR
Albino waliokaa huko wameletwa na nani?

Kanda yangu ni Southern Highlands,Nchi ya ahadi
 
Acha upumbavu inamaana wanazalisha madini tu ,unajua ng'ombe wagapi ,mbuzi wangapi, pamba,mahindi, ulezi, mchele, maziwa, kahawa au unajipa ujinga tu

Kama imekuuma meza boga au kajinyonge. Hoja hapa uliyoleta ni kuona Trilioni moja kwa mauzo ya dhahabu ya miaka mitatu ni nyiingiiiii, ndiyo nimekujibu acha upimbi wewe lofa hiyo ni pesa ya kawaida sanaaa tuu. Sasa umetanua goli na kuongeza ng'ombe,mbuzi na mengineyo nami nakujibu tena kwamba jumlisha yoooteee uweke na kuku, vifaranga, mbwa, paka, Fisi etc etc halafu ulete hapa nikupe jibu sawa??
 
Huu ubishi unaondelea ni kwa watu wasiojua uchumi wa nchi unabebwa na nini. Madini/dhahabu, pamba, samaki angalia ripoti za Bank kuu au Wizara ya fedha uone inaingiza shilingi ngapi. Pili je mkoa upi unaongizia mapato makubwa serikali yako ni Dar es Salaam kwa taarifa tu na wala sio kanda ya ziwa kama unavyojiaminisha. Sasa kila kanda ikijitutumua kama kanda yenu hii tutafika? Tusijidanganye. Sikujua mngeweza kufikia hapa leo hii mtu anajututumua kwa sera za kibaguzi hovyo kabisa. CCM tumepoteza mwelekeo kabisa.
 
Hiyo sio pesa ya mauzo ya dhahabu yote ya geita bali ni ya soko moja tu kati ya masoko 6
Screenshot_2021-09-23-00-12-49-00.jpg
 
Albino waliokaa huko wameletwa na nani?

Kanda yangu ni Southern Highlands,Nchi ya ahadi
Sehemu gani hakuna albino ,huko nyanda za juu kusini hawachimbi dhahabu ? Je kuna albino wa kutosha ?mnaoshea nini dhahabu?

USSR
 
Huu ubishi unaondelea ni kwa watu wasiojua uchumi wa nchi unabebwa na nini. Madini/dhahabu, pamba, samaki angalia ripoti za Bank kuu au Wizara ya fedha uone inaingiza shilingi ngapi. Pili je mkoa upi unaongizia mapato makubwa serikali yako ni Dar es Salaam kwa taarifa tu na wala sio kanda ya ziwa kama unavyojiaminisha. Sasa kila kanda ikijitutumua kama kanda yenu hii tutafika? Tusijidanganye. Sikujua mngeweza kufikia hapa leo hii mtu anajututumua kwa sera za kibaguzi hovyo kabisa. CCM tumepoteza mwelekeo kabisa.
Umewaza kibavicha Sana, Kama vipo kwanini tusiseme ,dar hii inaogoza kwa bandari ,viwanda na idadi ya watu sema huko unakotoka Kuna nini?

USSR
 
Kama imekuuma meza boga au kajinyonge. Hoja hapa uliyoleta ni kuona Trilioni moja kwa mauzo ya dhahabu ya miaka mitatu ni nyiingiiiii, ndiyo nimekujibu acha upimbi wewe lofa hiyo ni pesa ya kawaida sanaaa tuu. Sasa umetanua goli na kuongeza ng'ombe,mbuzi na mengineyo nami nakujibu tena kwamba jumlisha yoooteee uweke na kuku, vifaranga, mbwa, paka, Fisi etc etc halafu ulete hapa nikupe jibu sawa??
Huko kwenu Kuna nini zaid ya mbege

USSR
 
Back
Top Bottom