Soko la dhahabu Geita limeingiza Tsh trilioni 1 kwa miaka mitatu

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
6,317
2,000
Geita ni geita na Kanda ya ziwa ndio nguzo ya uchumi hata watu wengi waliojaa dar wanatokea huko.

Kwa miaka mitatu tu wamekusanaya pesa hizo Ila bado kuwa watu wanaona kupeleka miradi mikubwa huko ni kuchezea pesa .kwa Sasa ukitaka ushinde urais nenda kapigie magoti huko kila siku watu wanafyatua watoto na idadi yao inazidi kuwa kubwa na kusambaa nchi nzima

Samaki, idadi ya mifugo,pamba, watu, itafika kipindi ili uwe rais lazima kanda ya ziwa waseme ndio

USSR

------
Kilo 10,780 za madini ya dhahabu zenye thamani ya Sh1.1 trillion zimeuzwa katika soko kuu la dhahabu mjini Geita toka kuanzishwa kwa soko hilo mwaka 2018 hadi Julai 2021.

Pia kilo 3,246 zimeuzwa kwenye masoko madogo ya dhahabu yaliyopo kwenye halmashauri tano zilizopo mkoani hapa.

Hayo yamesemwa leo septemba 22, 2021 na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Rosemery Senyamule wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonyesho ya nne ya teknolojia na uwekezaji kwenye sekta ya madini yanayo endelea mkoani Geita.

Senyamule amesema mbali na uzalishaji huo pia mabadiliko ya Sheria ya Madini ya mwaka 2017 yamewezesha kupatikana kwa zaidi ya Sh 28.2 bilioni kutoka mgodi wa dhahabu wa Geita (GGM) katika fedha zinazotokana na uwajibikaji wa makampuni kwa jamii ambazo zimewezesha mabadiliko makubwa katika miundo mbinu ya afya na elimu.

Amesema pamoja na mafanikio yanayopatikana katika sekta ya madini lakini ipo changamoto kubwa ya uharibifu wa miundo mbinu unaofanywa na wachimbaji wadogo kwa kukata miti kwa ajili ya kutengeneza matimba.

Amesema katika kukabiliana na changamoto hiyo mkoa kwa kushirikiana na wadau wameanza kutoa elimu ya kutumia teknolojia ya vyuma ili kuokoa mazingira.

Akizungumzia maonyesho hayo ambayo kwa mwaka huu ni ya nne, amesema kumekua na ongezeko la washiriki kutoka washiriki 338 hadi 481 ambapo kwa mwaka huu yamehudhuriwa pia na nchi nyingine kutoka Rwanda, Dubai, Congo, India na Uganda.

Chanzo: Mwananchi
 
Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,379
2,000
Hivi JF na FB kimfanano vipoje wadau,kwani ndugu huyu ni sawa na kumfananisha uss na akina Bak,nawengineo wafananao nae.
 
Opportunity Cost

JF-Expert Member
Dec 10, 2020
9,045

Labda baba yako ndio atakupigia magoti..

Ni hivi kama unadhani T.1 inaweza kuendesha nchi wewe ni mpumbavu kabisa
 
mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
9,414

Dogo Mzigo mkubwa mkapa na ccm waliwazawadia GGM na
mabeberu wengine huwa unaondoka na ndege kila ijumaa
 
mtumishiwaleo

JF-Expert Member
May 4, 2020
587
1,000

Kuna watu humu, utasikia Samia anaupiga mwingi, wakati kazi kubwa kafanya Magufuri.RipJohn uliipigania Nchi
 
Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,692

Asipotokea mchagga/wakaskazini kukupinga kwa hili, nafuta hii comment babaa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom