Ngoromiko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 554
- 175
Mimi pia ninao ukweli yai lake moja ni sh elfu tano tu mawili elfu kumi. Ukweli hawa ndege ni watamu sana na ni bei kubwa kutokana na tamaduni za wenzetu wanazitumia sana, na pia ukuwaji wao ni shughuli kidogo kama ni mtu wa kukata tamaa haraka utaishia kuwaweka pambo tu bila kuongezeka wale ulioanza nao, maana hawataki shida. Nemyingwa Mhina
Nayma, kama mayai yapo tuaomba contact zako tafadhali, tunataka nasi tujaribu kuwafuga.