Salaam,
Wakuu wapi naweza kupata soko kwa ajili ya kuuza bata mzinga?kwa sasa wapo Moshi ila bado si tatizo kubwa sana kama ntapata soko Dar.
Asante Malila kwa maelekezo.Tafadhali nieleweshe jinsi ya ku PM nini maana ya PM yenyewe?coz naionaona tu na mi mgeni kwa hii forum.
Thanx Newmzalendo kwa maelekezo ntayafanyia kazi.nauza laki moja ila kulingana na size bei inapungua mkuu
Duuh sikujua kama hawa Bata mmoja anaanzia laki moja
Thanx Newmzalendo kwa maelekezo ntayafanyia kazi.nauza laki moja ila kulingana na size bei inapungua mkuu
ukifanikiwa usiache kutupa feedbak hapa JF.Thanx Newmzalendo kwa maelekezo ntayafanyia kazi.nauza laki moja ila kulingana na size bei inapungua mkuu
ukifanikiwa usiache kutupa feedbak hapa JF.
lini utakuwa mjini kwa mauzo,mimi nitakuwa tayari kununua by end of january-february,kwa ajili ya ufugaji na pia utakuwa ubize wako umepungua kwani kipinindi hiki cha X-mass utakuwa bize kutafuta masoko na kuuza hao bata
hahaha, mheshimiwa, na mimi ndo naona bei hiyo kwa mara ya kwanza..nilikuwa sijui bei yake kwa hapa bongo...kwa wale walioishi kidogo america ya kaskazini...hao bata wanaliwa sana wakati wa mwezi huo ujao na huu pia...nilikuwa nakula tu vipande vidogo ila sikujua bei yake...ukienda kwenye store zingine unaweza ona paja lake kama la mbuzi mdogo, ni wakubwa sana...ila bei yake inakuwa kubwa kwasababu huwa wanaliwa kitradition zaidi kuliko kiwingi wa nyama...ni sawa na mtu kuthamini sana ndafu wakati wa harusi wakati hata kuku unaweza kumbanika ukamweka pale..au hata kondoo unawezabanika ukaweka pale, ila anaweza garimia garama kubwa alimradi awe ndafu wa mbuzi....natamani kufuga haya ili niwe nakula mayao yao..What? Laki moja za TZ au za Zimbabwe? Ana kilo ngapi huyo bata mzinga? Au unauza Mbuni? Mhhh!
Mimi pia ninao ukweli yai lake moja ni sh elfu tano tu mawili elfu kumi. Ukweli hawa ndege ni watamu sana na ni bei kubwa kutokana na tamaduni za wenzetu wanazitumia sana, na pia ukuwaji wao ni shughuli kidogo kama ni mtu wa kukata tamaa haraka utaishia kuwaweka pambo tu bila kuongezeka wale ulioanza nao, maana hawataki shida. Nemyingwa MhinaVipi kuhusu mayai ya bata mzinga yanapatikana wapi?
Mimi pia ninao ukweli yai lake moja ni sh elfu tano tu mawili elfu kumi. Ukweli hawa ndege ni watamu sana na ni bei kubwa kutokana na tamaduni za wenzetu wanazitumia sana, na pia ukuwaji wao ni shughuli kidogo kama ni mtu wa kukata tamaa haraka utaishia kuwaweka pambo tu bila kuongezeka wale ulioanza nao, maana hawataki shida. Nemyingwa Mhina