Soko Kuu la Dodoma kupewa jina na Job Ndugai ni kosa

chase amante

JF-Expert Member
Feb 24, 2018
5,551
2,072
Nianze kwa salaam, habarini ndugu.

Niende moja kwa moja kwenye maada. Kitendo cha Soko hapo dodoma, kupewa jina la job ndugai ni kosa kubwa. Ikumbukwe kina mzee makamba, waliomba hata majina yao yapewe hata mtaa au barabara, lkn waligomewa na kuitwa wasaliti licha ya uzalendo wao wa muda mrefu ndani ya chama na taifa.

Ni kuwakosea heshima.
Nakaribisha hoja
 
Na kwa nini wachague jina hilo wakati maspika wengi wazoefu wamepita ktk kiti hicho na walifanya makubwa na kusisimua nchi mfano yule marehemu baba yetu spika wa viwango
 
Nitakuja kuyafuta majina haya yote ya masoko, flyover n.k tumegawa hovyo hovyo mno.
 
Sawa Mkuu. Ila Samahani kosa ni soko kupewa Jina la Mh. Ndugai au ni hawa wakina Mzee Makamba kutotunukiwa majina yao baadhi ya barabara au mitaa?

Kwa mfano wakina Mzee Makamba majina yao yakapewa baadhi ya Barabara au mitaa, kosa la Ndugai Jina lake kupewa soko bado litakuwepo?
 
Acha wayape majina watakavyo na nawahakikishia hata hizi pesa wanaenda kuweka sura ya magufuli soon. Ila wataondoka ayo najina yatatolewa.
 
Back
Top Bottom