Soko jipya Mwanjelwa Mbeya: Jipu lisilotumbuka?

tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
3,307
4,585
Hivi kwanini TAMISEMI hawajatumbua hili jipu? Jengo la bilioni 13 mkopo Toka CRDB utadhani limejengwa kwa milioni 500.
Halafu pia Wizara ya Viwanda ifuatilie mapato ya SIDO Mbeya.
new.jpg
 
Hongera Mkuu kwa kuliona hili. Tuendelee kumuonesha Mheshimiwa Rais majipu yote yaliyojificha
 
Hujui wameingiaje sio? Wakati hilo soko linaungua nilikwepo Mby. Akaja waziri wa viwanda/biashara Juma Akukweti akaongea shombo halafu akasepa hakufika popote ndege aliyopanda ikaanguka na kugharimu maisha yake pamoja na kukimbizwa Dizonga kwa matibabu wanga nyie.
 
Hiii ilikuwa Kazi muhimu sana meya wa jiji la Mbeya na halmashauri ya jiji la Mbeya inayo ongozwa na chadema kuanzia nayo.
 
Back
Top Bottom