Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Wakuu Mpira wa Afrika una mambo mengi sana, yaani ukiziangalia hizi mechi mbili ile ya kwanza kule SA na hii ya jana Temeke unaona kuna nguvu kubwa sana inatumika nje ya uwanja.
Ukiitizama Simba iliyocheza SA na Simba ya jana ni timu mbili tofauti kabisa.
Pia ukiitizama Kaizer Chiefs ya jana na ile Kaizer Chief's ya last week Huko SA ni timu mbili tofauti kabisa.