Duh, leo nimepita kwa ndugu yetu Michuzi "www.issamichuzi.blogspot.com" nikakuta katundika picha ya Kocha wa Staaz - Maximo amefungua duka barabarani.... Si utani ni picha inafurahisha sana na kuchekesha kuona "Kocha wa Timu ya Taifa" amefungua duka..... Sisemi ni vibaya lakini duh, si utani!!
Clip yenyewe ni:
http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/duka.html#comments
Clip yenyewe ni:
http://issamichuzi.blogspot.com/2008/01/duka.html#comments