kupigana buyu a.k.a uchawi kuvunja nazi kwa sana hasa karibia na uchaguziHivi Tanzania chini ya utawala wa CCM ni jambo gani tunaloweza kutembea vifua mbele kwamba tunalimudu? Kama mpira ndo matokeo hayo, siasa sasa wanapeleka mabomu kwa wapinzani, kama rslimali wageni wanazoa bure tu kwa mikataba feki, madawa ya kulevya ndo hivyo wengine wanaenda kuokolewa mikononi mwa serikali ya wachina. Haya sasa kazi kwa watanzania
Kocha ni dhaifu na uongozi wa TFF ni bure, naomba tujiulize maswali ya msingi juu ya huu uswahiba wa AZAM na TFF, hivi wewe kama mtanzania na mpenzi wa mpira wa miguu jiulize kwa kina na kwa undani. Wachezaji wa AZAM wamesimishwa kucheza karibu nusu ya msimu, lakini wanaitwa nakucheza timu ya Taifa, je ni wapi kocha kawaona wako fiti kwa mashindan? Mchezaji wa AZAM hajawahi kucheza msimu mzima kwnye timu yake, lakini anaitwa timu ya Taifa, wapiwapi?
Je kuna masharti TFF imepewa na AZAM ili watumie basi la AZAM zinapokuja timu kucheza na timu ya Taifa?
Je TFF inatumika kuitangaza AZAM kwa ajili ipi kila ugeni wakipata wanawapeleka AZAM?
Je kocha amelazimihwa chini ya kapeti kuwachukua wachezaji wa AZAM?
Sitashangaa uongozi wa AZAM umehonga ili wchezaji wao waitwe ili kuitangaza AZAM.

ufisadi..........hivi tanzania chini ya utawala wa ccm ni jambo gani tunaloweza kutembea vifua mbele kwamba tunalimudu? Kama mpira ndo matokeo hayo, siasa sasa wanapeleka mabomu kwa wapinzani, kama rslimali wageni wanazoa bure tu kwa mikataba feki, madawa ya kulevya ndo hivyo wengine wanaenda kuokolewa mikononi mwa serikali ya wachina. Haya sasa kazi kwa watanzania
Bila Taifa kutubu dhambi zake, msitegemee mafanikio yeyote, Nchi ina laana hakuna tunachofanikiwa, mungu yu mbali nasi