Soka bongo bado sana.......4-2 nyumbani

TETESI?,Okay we leo ndo umelitambua hilo mchezaji yuko psychologically unfit so how comes awamudu Ivory Coast na hizo 4 shukuru Mungu!!!
 
Hivi Tanzania chini ya utawala wa CCM ni jambo gani tunaloweza kutembea vifua mbele kwamba tunalimudu? Kama mpira ndo matokeo hayo, siasa sasa wanapeleka mabomu kwa wapinzani, kama rslimali wageni wanazoa bure tu kwa mikataba feki, madawa ya kulevya ndo hivyo wengine wanaenda kuokolewa mikononi mwa serikali ya wachina. Haya sasa kazi kwa watanzania
 
Mabeki awako makini kabisa,watu wanajituma kule mbele, halafu beki zinaruhusu mabao mepesi,hapa mpka tupate wakina samata,ulimwengu wengi ndio tutafika mbali.
 
Kocha ni dhaifu na uongozi wa TFF ni bure, naomba tujiulize maswali ya msingi juu ya huu uswahiba wa AZAM na TFF, hivi wewe kama mtanzania na mpenzi wa mpira wa miguu jiulize kwa kina na kwa undani. Wachezaji wa AZAM wamesimishwa kucheza karibu nusu ya msimu, lakini wanaitwa nakucheza timu ya Taifa, je ni wapi kocha kawaona wako fiti kwa mashindan? Mchezaji wa AZAM hajawahi kucheza msimu mzima kwnye timu yake, lakini anaitwa timu ya Taifa, wapiwapi?

Je kuna masharti TFF imepewa na AZAM ili watumie basi la AZAM zinapokuja timu kucheza na timu ya Taifa?
Je TFF inatumika kuitangaza AZAM kwa ajili ipi kila ugeni wakipata wanawapeleka AZAM?
Je kocha amelazimihwa chini ya kapeti kuwachukua wachezaji wa AZAM?

Sitashangaa uongozi wa AZAM umehonga ili wchezaji wao waitwe ili kuitangaza AZAM.
 
Hivi Tanzania chini ya utawala wa CCM ni jambo gani tunaloweza kutembea vifua mbele kwamba tunalimudu? Kama mpira ndo matokeo hayo, siasa sasa wanapeleka mabomu kwa wapinzani, kama rslimali wageni wanazoa bure tu kwa mikataba feki, madawa ya kulevya ndo hivyo wengine wanaenda kuokolewa mikononi mwa serikali ya wachina. Haya sasa kazi kwa watanzania
kupigana buyu a.k.a uchawi kuvunja nazi kwa sana hasa karibia na uchaguzi
 
Tatizo sirikali imewekeza sana kwenye siasa chafu ili kusonga hususan kwenye michezo hatuna budi kuwekeza kwenye michezo lasivyo daily tutakuwa kichwa cha mwendawazimu kila mtu anajifunzia kunyoa 4oclock tena home!!
 
Fifa wangeruhusu kutumia wachezaji wa kigeni kwny michuano ya kimataifa tuajiri na Kununua wachezaji wazuri tungekuwa mbali sanaaa chukulia messi aichezee taifa staz ronaldo Rooney na wengine weengii
 
Bila Taifa kutubu dhambi zake, msitegemee mafanikio yeyote, Nchi ina laana hakuna tunachofanikiwa, mungu yu mbali nasi
 
Kocha ni dhaifu na uongozi wa TFF ni bure, naomba tujiulize maswali ya msingi juu ya huu uswahiba wa AZAM na TFF, hivi wewe kama mtanzania na mpenzi wa mpira wa miguu jiulize kwa kina na kwa undani. Wachezaji wa AZAM wamesimishwa kucheza karibu nusu ya msimu, lakini wanaitwa nakucheza timu ya Taifa, je ni wapi kocha kawaona wako fiti kwa mashindan? Mchezaji wa AZAM hajawahi kucheza msimu mzima kwnye timu yake, lakini anaitwa timu ya Taifa, wapiwapi?

Je kuna masharti TFF imepewa na AZAM ili watumie basi la AZAM zinapokuja timu kucheza na timu ya Taifa?
Je TFF inatumika kuitangaza AZAM kwa ajili ipi kila ugeni wakipata wanawapeleka AZAM?
Je kocha amelazimihwa chini ya kapeti kuwachukua wachezaji wa AZAM?

Sitashangaa uongozi wa AZAM umehonga ili wchezaji wao waitwe ili kuitangaza AZAM.

Mkuu hapo kuna kitu kipo nyuma ya pazia.
Huenda kuna mtu TFF friji yake nyumbani inasheheni box za juice za Azam kila siku.
 
mi kila cku nasema mpira,ni uwekezaji wa muda mrefu sana,sio unakurupuka tu,unataka kuona mafanikio,mfano ukiangalia combination ya ulimwengu na samata unaona kabisa ni watu wakiofundishwa na kufundishika,tungekuwa na vijana kama hao angalau first eleven!tungeweza kuanza kupata mafanikio,sio tunakuja na kauli mbiu.'WAGENI NI LAZIMA WAKAE' si paka wapate wa kuwakalisha!?
 
Kocha ni dhaifu na uongozi wa TFF ni bure, naomba tujiulize maswali ya msingi juu ya huu uswahiba wa AZAM na TFF, hivi wewe kama mtanzania na mpenzi wa mpira wa miguu jiulize kwa kina na kwa undani. Wachezaji wa AZAM wamesimishwa kucheza karibu nusu ya msimu, lakini wanaitwa nakucheza timu ya Taifa, je ni wapi kocha kawaona wako fiti kwa mashindan? Mchezaji wa AZAM hajawahi kucheza msimu mzima kwnye timu yake, lakini anaitwa timu ya Taifa, wapiwapi?

Je kuna masharti TFF imepewa na AZAM ili watumie basi la AZAM zinapokuja timu kucheza na timu ya Taifa?
Je TFF inatumika kuitangaza AZAM kwa ajili ipi kila ugeni wakipata wanawapeleka AZAM?
Je kocha amelazimihwa chini ya kapeti kuwachukua wachezaji wa AZAM?

Sitashangaa uongozi wa AZAM umehonga ili wchezaji wao waitwe ili kuitangaza AZAM.

Huu unazi wenu wa uyanga na u simba ndio unaoua mpira wa tz.Kocha ndio anayejua wachezaji wa kuwatumia,Inawezekana walikuwa wanafanya mazoezi mchangani,au hata sehemu nyingine,na akawa ana wa monitor,kwani hata hivyo hii ligi ya tz nayo ni ligi ya kumfanya mchezaji awe na uwezo mkubwa sana?Hao wanaocheza yanga na simba miaka yote wanaitwa wame2fikisha wapi?
 
hivi tanzania chini ya utawala wa ccm ni jambo gani tunaloweza kutembea vifua mbele kwamba tunalimudu? Kama mpira ndo matokeo hayo, siasa sasa wanapeleka mabomu kwa wapinzani, kama rslimali wageni wanazoa bure tu kwa mikataba feki, madawa ya kulevya ndo hivyo wengine wanaenda kuokolewa mikononi mwa serikali ya wachina. Haya sasa kazi kwa watanzania
ufisadi..........
 
Back
Top Bottom