Software ya kufunga dvd wakati wa kubani ili zisikopiwe

kama utahitaji tu , au unatakakutengeneza cd chache, maana nilikuwa natumia nimeiweka mahali tu
Mkuu nisaidie tu, nina shida. Majuzi tu ndo nimeanza kazi ya editing na kuna kijana mmoja anataka kurekodi wimbo wake. Kwa pamoja hatutaki kuacha dvd wazi. Ntapataje hii kitu?
 
we unazani ukifunga watu wenye ujuzi wa kucheza na Ayo madude tutashindwaje kufungua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom