software CRACKS

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
19,768
23,384
Please
can anyone assists me the access for kaspersky 7.0 pls pls.
Nipo ktk tril and am stuck
 
Msanii, pole sana..

Mwanawane ngoja nikwambie tu kuwa, kwa kweli huhitaji crack gene ku-crack anti-virus software... kufanya hivyo ni kujitia matatani mwenyewe... ni sawa na kesi ya mbuzi kuipeleka kwa chui ili atoe hukumu.

Isitoshe, kuna program kibao zinazopatikana kwa bure zenye kuweza kukusaidia kuondoa virus... kuna spybot resident, kuna AVG free version.... na nyingine nyingi tu... jana tu, invisible kaweka hapa thread yenye ku-list freebies kibao, including za virus.

Naelewa umekuwa specific kwa kuuliza crack ya Kaspersky, hata hivyo program nyingi za antivirus engine zake zinafanana, na virus definitions karibu zote ziko sawa maana zinategemea website zenye database zinazokusanya new threats.

Isitoshe, kuna kuondoa virus manually, njia hii imeelezwa pahala pengi kwenye forum ya ICT, mara ya mwisho ninavyokumbuka Invisible kaitolea maelelezo kwenye ile thread ya "virus ya Odinga." Naomba ucheck...

Kingine, natumaini unaelewa na kulizingatia hili: JIEPUSHE NA WEBSITES ZA CRACKS AT ALL COSTS & BY ALL MEANS!! ZITAKUHARIBIA MASHINE YAKO. BELIEVE ME ON THIS!!!!

Naomba kumaliza kwa kukusihi ununue anti-virus program. Nasema hivi maana nina elewa kuwa nyingi hazizidi dola 40. Hela kama hii kwa program itakayokulinda wewe kwa mwaka na zaidi sidhani kama ni vibaya kuihalalisha.

I hope utasolve hilo tatizo ulilonalo. Baadae.

SteveD.
 
mheshimiwa.kama ni single mashine nedna tu pale Q-Print opposite NMB bank house.ni kama TZS 40,000 kwa licenced CD.in the mean time nakushauri kama una tatizo la virus tafuta AVAST free trial in last siku 60 za kwanza.then kabla ya kuinstall download na lateest update ya avast.halafu unainstall avast na itacomprompt kama unataka kuscan next time mashine ikiboot.sema yes maliza installation usirestart kwanza.aplly ile update then restart mashine.
kaspersky ni nzuri lakini hai remove virus kama hujairegister..ndo ujinga wake
pia NOD 32 ni antivirus bomba kuliko zote kwa sasa lakini na yenyewe ni kama kaspersky
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom