..Sophia Simba pia alitoa mapendekezo kwamba Wabunge wa viti maalum wa CCM wasichaguliwe zaidi ya vipindi viwili.
..sasa CCM-NEC wamekubaliana na hoja hiyo lakini ili kuepusha shari wameagiza utekelezaji wake uanze mwaka 2015.
hii ni post yangu ya 1000.
ni hivi Sophia Simba anacho kiburi apatacho kutoka kwa Rais, ama alijuana na Rais nje ya mfumo wa utawala ama anajua na rais kifamilia ama kuna mahusiano fulani nje ya kazi yanamtia kiburi huyu mama.
Maana sikudhani mpaka leo angekua sehemu ya chama ama serikali kimamlaka.
akiwa mteule wa ofisi ya Rais na mwenyekiti wa umoja wa wanawake wa CCM Tanzania, amefanya mambo mengi ya kihuni kuliko ilivyowahi kutokea tangu Uhuru.
kweli binafsi huyu mama ananikera, ananiboa, bahati nzuri mimi si mwana CCM , lakini kwasababu akili yake haijatulia nashangaa kuachwa kwenye mamlaka ya Taifa hili hadi leo.
halafu anapenda sana kutumia neno la Raisi kanituma, Rais ameniagiza, hili lina baraka.....sikupendi Sofia.
haa kumbe unamzimia, kipenda roho....mi namzimikia huyu mama kinoma....................
Heeeee! yeye kaboronga mara ngapi lakini hajatimuliwa? Kiboko yake Kilango.uhuni gani kafanya na wewe????????????// hebu acha maneno maneno maneno.................... tena ya vijiweni................watendaji wakiboronga mnakuwa wa kwanza kutaka wawajibishwe, wakiwajibishwa manakuwa wa kwanza kuwalilia!!!!!!!!!! tuwaeleweje waTZ!!!!!!!!!!!!!!!
kuna mfano mwingine wa uongozi tunaotaka zaidi ya huu......................... you are not serious men.........................
mi namzimikia huyu mama kinoma.......................
uhuni gani kafanya na wewe????????????// hebu acha maneno maneno maneno.................... tena ya vijiweni................watendaji wakiboronga mnakuwa wa kwanza kutaka wawajibishwe, wakiwajibishwa manakuwa wa kwanza kuwalilia!!!!!!!!!! tuwaeleweje waTZ!!!!!!!!!!!!!!!
kuna mfano mwingine wa uongozi tunaotaka zaidi ya huu......................... you are not serious men.........................
mi namzimikia huyu mama kinoma.......................