Sofa set used 350k

Clearing Agent

New Member
Jun 28, 2019
2
92
Nauza sofa set used za kisasa na ziko kwny hali nzuri, kochi 2 za kukaa watu wawili na moja ya mtu mmoja. Bei 350k maongezi yapo pia. Napatikana dar es salaam kijitonyama ukizipenda piga/text 0653953900 tumalize biashara.
IMG-20190909-WA0003.jpeg
IMG-20190909-WA0004.jpeg
IMG-20190909-WA0002.jpeg
IMG-20190909-WA0000.jpeg
 
Hizo sofa hazijatumika kupigia show za kibabe?
Kama ndio mara ngapi na ndomu zilitimika au kavu kavu?
Na kama kavu kavu why kwanini wajameni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom