Sofa set inauzwa jamani laki 5 na 50,, malipo on collection. Moja ya kukaa watu watatu, Moja ya kukaa wawili na single zipo 2 kimara.
View attachment 441019View attachment 441020View attachment 441021
Ulikuwa unajifunzia nini mkuu, mbona yapo yapo tu!
nyie watu mi napita tu hapa sitaki ushahidiSorry mkuu ,mimi hata bure sitaki.
Kuwa na busara, we ungekuwa unatangazaSorry mkuu ,mimi hata bure sitaki.
Next time usifanye hivyo tena, siyo vizuri.Sorry mkuu ,mimi hata bure sitaki.
Heshima ni kitu cha bure.sio lugha mzuri mkuu.Sorry mkuu ,mimi hata bure sitaki.
...hovyoooo!,nani akupe bure sasa na sura lenyewe hilo ka ngedere!Sorry mkuu ,mimi hata bure sitaki.
Hapana......mimi napinga kabisa.....jf biashara ipo tena ipo sana....nimeuza bidhaa zaidi ya mara 20 na nimenunua pia mara nyingi humuhumu jf.Biashara za jf siziamin tena...utoto utoto..uhuni...utapeli tu
Kuna yule jamaa alileta humu picha kitanda+godoro+tv flat+ sofa.
Nimempigia sim jana ake tymekubaliana kesho ake naenda tufunge mjadala....nafija kkoo namshtua anaanza uswahili swahili....no bsness Jf
teh teh teh nyie watu noma sana, hzo sofa apeleke kondoaUlikuwa unajifunzia nini mkuu, mbona yapo yapo tu!