Sofa inauzwa

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
4,041
6,291
Sofa set inauzwa jamani laki 5 na 50,, malipo on collection. Moja ya kukaa watu watatu, Moja ya kukaa wawili na single zipo 2 kimara.

1480413860161.jpg
1480413870972.jpg
1480413886542.jpg
 
Biashara za jf siziamin tena...utoto utoto..uhuni...utapeli tu
Kuna yule jamaa alileta humu picha kitanda+godoro+tv flat+ sofa.
Nimempigia sim jana ake tymekubaliana kesho ake naenda tufunge mjadala....nafija kkoo namshtua anaanza uswahili swahili....no bsness Jf
 
Hapana......mimi napinga kabisa.....jf biashara ipo tena ipo sana....nimeuza bidhaa zaidi ya mara 20 na nimenunua pia mara nyingi humuhumu jf.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom