eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,233
- 16,202
Wana body,
Naja kwenu nikiomba msaada sote tunasoma bible na kuna story kuhusu Sodoma na Gomora na watu walioishi huko jinsi walivyokua na bible inatuambia katika watu wote walioishi huko ni wanne tu ndio waliokua wanamuogopa Mungu.
Je swali linakuja Sodoma na gGmora kwa sasa inaitwaje au ni nchi gani kwa hivi sasa au ilifutika kabisa na kama ipo ipo bara gani?