Sodoma na Gomola ni cha mtoto kwa dunia ya leo

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,157
Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao...

Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa

Ila nionavyo mimi..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa Sodoma wakasome...

Kuna muvi moja ya xxx naiangalia hapa daaaah!!! Ni hatari tupu
 
Vitendo vilivyokuwa vinafanyika huko Sodoma na Gomora havijafikiwa hata nusu na walimwengu wa sasa! Wapi katika ulimwengu huu umeona watu wanaweka mduara huku wakitiana tena wanaume tupu? Au mtu kujiwa na wageni wake then majirani wakavamia nyumbani ili wageni watolewe nje wakawagonge?
 
Mkuu amini nakuambia hivyo vyote vipo na vimefanyika sana tu...
 
Historia na maandiko yanasema kwamba sodoma na gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao,kinyaa kibao,ushenzi kibao...

Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa

Ila nionavyo mm..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa sodoma wakasome...

Kuna muvi moja ya x naiangalia hapa daaaah!!! Ni hatari tupu
Mkuu dunia ya Leo ,, pamoja na kufanya uovu wote ,,bado hatujafikia sodoma na ghomorah,,hivi kuna watu wamesha wahi kugegedana tena hadharani kama mshikaki?

Bado hatujafikia hata chembe ya sodoma na ghomorah.

Mkuu sodoma na ghomorah Tema mate chini..

Watu walitaka wampige Pu***mbu hadi malaika wa Mungu wewe ungeweza?
 
Historia na maandiko yanasema kwamba sodoma na gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao,kinyaa kibao,ushenzi kibao...

Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa

Ila nionavyo mm..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa sodoma wakasome...

Kuna muvi moja ya x naiangalia hapa daaaah!!! Ni hatari tupu
 
Vitendo vilivyokuwa vinafanyika huko Sodoma na Gomora havijafikiwa hata nusu na walimwengu wa sasa! Wapi katika ulimwengu huu umeona watu wanaweka mduara huku wakitiana tena wanaume tupu? Au mtu kujiwa na wageni wake then majirani wakavamia nyumbani ili wageni watolewe nje wakawagonge?
Maldives hipo hyo
 
Historia na maandiko yanasema kwamba sodoma na gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao,kinyaa kibao,ushenzi kibao...

Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa

Ila nionavyo mm..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa sodoma wakasome...

Kuna muvi moja ya x naiangalia hapa daaaah!!! Ni hatari tupu
Sasa kama unajua ni hatari tupu kwanini unaangalia hiyo muvi ya x?
 
Kwan wenzetu pale sodoma na gomora mlikua mnaishi wilaya gan mpaka kutwa kucha kufananisha sodoma na bongo??
 
Historia na maandiko yanasema kwamba Sodoma na Gomola ni miji iliyokuwa ina fanya mabalaa kibao, kinyaa kibao, ushenzi kibao...

Yaani mpaka ikafikia miji hiyo kuangamizwa

Ila nionavyo mimi..kwa dunia hii ya leo.. Wale wa Sodoma wakasome...

Kuna muvi moja ya xxx naiangalia hapa daaaah!!! Ni hatari tupu
🤔maliza unachoangalia ukafanyie kazi
 
Back
Top Bottom