Embu Google ujue kama nijue kama wewe ni empathic person?sifanyi nyeto mkuu. Ni kweli oversensitive person ambae ni introvert.
Jamani,usikate tamaa mapema..kwa njia yoyote isiyo na maumivu,
hayo mateso ntayokutananayo huko ni bora zaidi kuliko ya hapa duniani. Kama kweli Mungu aliamua niishi maisha haya japo sikutaka niishi hivyo basi atakua kanikosea hata nikiwahi kwenda kwake lakujibu ninalo, nimehangaika kadri ya uwezo wangu nimeshindwa kibinaadam, siku zote hizo why asitoe suluhisho mapema ili nisiwahi kwenda kwake? Hajui kwamba kupona kwangu ni mafanikio ya watu wengine? Kiukweli najuta kuishi na familia ambayo haikua na mapenzi ya dhati kwangu yale ya kunijenga. I have to go, potelea mbali.
Jitahidi sana ukiwa peke yako uwe unaongea mwenyewe.asante ndugu yangu.
Fanya michezo ili kuongeza hamasa ya mazoezi,kwa mfano mpira,kuogelea na muziki.asante kwa ushauri mkuu. Tatizo langu kwenye mazoezi ni mvivu naweza nkaanza wiki moja wiki inayofuata naacha. narudi tena pale pale.
Basi tatizo ni you are NOT fair to yourself, unajicompare sana na watu.hapana sio empathic. naupenda mwili wangu ila niko na low self esteem