Social Security Regulatory Authority takes off July. Huu naona ni wizi mtupu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Social Security Regulatory Authority takes off July. Huu naona ni wizi mtupu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ng'azagala, Mar 26, 2009.

 1. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Social Security Regulatory Authority takes off July

  JIANG ALIPO, 26th March 2009 @ 10:00

  A body that will have to supervise and regulate all the activities of social security funds in the country, the Social Security Regulatory Authority, is expected to become operational by July 1, this year.

  The Labour Commissioner in the Ministry of Labour, Employment and Youth Development, Mr David Kaali, confirmed today that the procedures to establish the body were in the final stages and would be finalized by June. “Our social security sector has more than six funds, so there is a need to establish a body to regulate their operations, to make sure that the interest of their members are always taken into account,” said Mr Kaali.

  He was speaking at a one day consultancy meeting of stakeholders of the social security sector, including representatives of the social security funds, to discuss and provide input to improve the body’s regulations, rules, guidelines and forms. Some of the functions of the proposed Regulatory Authority are to register the schemes and issues guidelines for the effective and efficient operation of the sector for the benefit of its members.

  “This is for the interest of all stakeholders in the social security sector, the employees, the employers, the general public and the government,” said Prof Josephat Kanywanyi, who is a member of the steering committee involved in setting up the guidelines. The Commissioner promised better conditions in the social security sector, saying: “There will be improvement in this sector, as most of the changes will be for the benefits of the members.”

  Some of the major changes that will be brought about by the Regulatory Authority are those which will prohibit withdrawal of pension benefits from the pension fund before retirement. “We are the only country in the world that allows people to withdraw their pension benefits before retirement, this authority will put an end as the money are to help members when they retire not otherwise,” said Prof Kanywanyi. The Social Security Regulatory Act also provides for the establishment of the Social Security Tribunal, which shall have jurisdiction on appeals against the decisions of the authority


  HIVI HII NCHI TUTAPATA MAENDELEO KWELI kwa kuendekeza haya ma Regulatory Authority? tuna mashirika mengi sana ambayo hayazalishi na yanatumia pesa nyingi sana za walalahoi, yanafilisi tu.
  hivi watanzania hawawezi kuwajibika mpaka kila kitu kianzishiwe Regulatory Authority? wizi mtupu!!!
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  This is good!

  Such authorities zipo nchi zingine pia!


  Hii itaweza kupunguza Mwanasiasa kama Sumaye kujichuukulia pesa ya wafanyakazi??

  Wazee mnasemaje?
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Nini kinakupa confidence hiyo? Kama wamechukua central bank pale mamilioni ya EPA watashindwa nini hapo?
   
 4. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nchi kama yetu, tunahitaji kuangalia jinsi gani ya kupunguza matumizi, labda tuanzishe chombo kimoja sasa ambacho kitakuwa kinafanya ukaguzi kupitia mashirika mbalimbali. Mashirika yote na makampuni yachangie fedha katika mfuko fulani, ambozo utafanya huo ukaguzi. kwa sababu, mimi haingii akilini kabisa, mtu ambaye ni mfanyakazi wa sherika A, anapotakiwa kufanya kazi katika sherika B yenye masilahi ya wengi anapaswa kulipwa tena. Nadhani serikali inapaswa kuangalia ni jinsi gani hizi kamati na bodi mbalimbali zinaweza kuendeshwa kwa gharama kidogo, kupitia mikataba ya maelewano na mashirika au kampuni fulani.
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Kazi ya serikali ni regulation all over the world..na hata huu msukosuko wa uchumi duniani is attributed by weaknesses ktk regulation!

  Sasa kuna ubaya gani? kwani hapo vijana wa waliosoma Social Security mnataka wakale wapi? Ndo waajiriwe huko na wanasheria! Mimi a public institution kama wanaajiri kwa misingi ya qualification na experience sina maneno nayo.. bora watu wanapata kazi!

  sasa SUMATRA wanapopunguza nauli na kulazimisha makampuni ya mafuta yapunguze bei za mafuta kuna ubaya?
   
 6. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #6
  Mar 28, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Your right but your argument are weak. Kila Fund (pension fund) ina wigo au scope ya kupata wanachama wake. Kumekuwa na migogoro na mwingiliano katika kupata wanachama, Pia pension funds zinakusanya pesa za wafanyakazi kwa lengo kuu la kuwalipa mafao uzeeni pamoja na mafao madogo madogo wakati wakiwa kazini pale inapobidi. Ili mashirika haya yaweze kufanya kazi hiyo kwa ufanisi yanatakiwa kuwekeza katika high yielding investment but less risk one. Pia kwa nature ya mafao yake mashirika haya wakati yakifanya uwekezaji huo yanatakiwa kuwa na proper asset-liability mix. Vile vile mwanachama alikuwa hawezi kupata mkopo kwa kutumia michango yake kama dhamana, hivyo Authority hiyo itacome up ta sheria itakayo wawezesha wanachama kukopa kwa kutumia michango yao kama dhamana. Hizo ndio sababu kubwa zilizopelekea kuundwa chombo hicho (regulator). Vile vile chumbo hiki ni muhimu kuhakikisha mashirika haya hayafirisiki kutokana na uwekezaji wake. Kwawale wanaojua maswala ya Actuarial studies wataelewa vizuri.
   
 7. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #7
  Mar 29, 2009
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Nimeipata point yako bm21. Lakini I thought kwa nchi yetu hii masikini, vitu kama hivi vingekuwa worked out na haya mashirika yakawa forced kufuata hayo maagizo, na usimamizi (regulator) ukabaki chini ya vyombo vilivyopo mf. NSSF ipo chini ya Wizara ya Kazi na .... na pia PPF ipo chini ya wizara ya Fedha. kama wizarani watu wanafanya kazi na wapo commited, wangetosha kusimamia.
  Wasiwasi ni kuwa tunaweza kuwa na regulatory authority na isitusaidie kama tunavyodhani. angalia TCRA, mbona bei za mawasiliano bado zipo juu? ingawa tuliahidiwa kuwa TCRA ikiwa in place watashughulikia gharama hizi? hata hawa EWURA kidogo wamebadilika juzi hapa baada ya presha kutoka kwa jamii kuwa kubwa(kuhusu bei za mafuta) ingawa bei za umeme bado tatizo. nk. pia ukumbuke gharama kubwa ya kuendeshea mifuko hii? itatoka wapi? kwenye michango ya wafanyakazi?
   
 8. bm21

  bm21 JF-Expert Member

  #8
  Mar 29, 2009
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 774
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkubwa, shida kubwa ni kama unavyo sema sera ni nzuriilatatizo ni utekelezaji. Tukianza na swala la gharama za uendeshaji mifuko ipo hivi, mifuko hii mkuu nijuavyo mimi haitumi pesa zako za michango kujiendesha. Pesa za kujiendesha zinatokana na uwekezaji ambao mashirika haya yanafanya. Kimsingi wanatakiwa kutumia si zaidi ya 15% ya investible funds kwaanjiri ya kujiendesha.

  Umetaja TCRA, EWURA, etc nikweli regulator hawa hawajamsaidia sana mtanzania. Sijajua muundo wake upoje, lakini tukichukua mfano wa regulator wa vyuo vikuu. Utakumbuka baada ya scadal za PhD feki kwa baadhi ya wabunge na Mzumbe University hawa regulator walisema hawana meno ya kudeal na watu wenye taaluma feki. Inawezekana hata hao TCRA, EWURA, etc hawana meno pia who knows?. Kwajinsi hii basi ni vyema tukajilidhisha muundo wa huyu regulator wa Pension funds kama anameno. lakini nilisha pitia sheria hii ya pension funds so far so good, I can say so. Namaanisha itakuwa na meno ya kuregulate.
   
 9. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 29, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hivi mnajua Social Security ya nchi ya Norwai wamepoteza USD 92 billions kutokana na makosa ya investment na hii Economic Crisis?

  Mimi nadhani kuna haja Tz kuwe na sera hizi pesa za wafanyakzi zinawekezwa wapi!

  Hivi ktk kujenga Hostels za Vyuo Vikuu je ni pesa hizi inategemewa kurudi ktk mda gani?

  Kuna mtu anayejua Jumla kuu ya Pesa za Social Security Tanzania kwa sasa?
   
Loading...