Social networks za Google +, Facebook na Twitter... Ipi unapenda zaidi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,641
155,002
Kuanzia features, text inayoweza ku support, graphics, storage capacity, aina ya data inayoweza kuhost, user friendship n.k.
Kwa vigezo hapo juu na vingine vingi, je ni mtandao gani unaokuvutia zaidi
 
JF ndiyo kiboko yao, mtu unaweza ukaamua kutema ngeli halafu vilaza wanaishia kulialia tu kwa kushindwa kutafsiri kudadadeki.
 
Twitter- kwasababu nahisi nakuwa nina close interraction na macelebs, na kuwa updated nini kinaendelea duniani, na exposure.
 
Kuanzia features, text inayoweza ku support, graphics, storage capacity, aina ya data inayoweza kuhost, user friendship n.k.<br />
Kwa vigezo hapo juu na vingine vingi, je ni mtandao gani unaokuvutia zaidi
google tunaigroup kama search engine...but kwa siku inaongoza kwa kufunguliwa kuliko zote na partner wake youtube.. FB ni kwa marafiki tu. Zina utofauti.
 
my space ndio inaongoza kwa kuwa karibu na celebrtz.
<br />
<br />
ha ha! Myspace imeshakufa bro...twitter ndo mpango mzima kama unapenda kujichanganya na wale jamaa zetu wa ulimwengu wa kwanza.
 
google tunaigroup kama search engine...but kwa siku inaongoza kwa kufunguliwa kuliko zote na partner wake youtube.. FB ni kwa marafiki tu. Zina utofauti.

FB KWA MARAFIKI TU ILA SASA NDUGU JAMAA WATU WANA WA ADD KWA MPANGO UPI lol!.
 
JF ndiyo kiboko yao, mtu unaweza ukaamua kutema ngeli halafu vilaza wanaishia kulialia tu kwa kushindwa kutafsiri kudadadeki.

Hahahaha,

We mkatili sana, halafu unapenda kuonea sana. Kwanini usiende kutema ngeli kwa walami huko HuffPost uwe na audience kubwa uone English lit wanavyochacha ukikosea apostrophe na netiquette buff wanavyowazushia?
 
Back
Top Bottom