social networks ndiyo iliyofanikisha kumng'oa dikteta wa tunisia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

social networks ndiyo iliyofanikisha kumng'oa dikteta wa tunisia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngonini, Jan 21, 2011.

 1. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Ndugu zangu nilko home leo nimebahatika kuangalia mjadala katika Aljazira TV, walikuwa waki discuss namna ambavyo social media zilivyo fanikisha mabadiliko huko tunisia. Jamaa mmoja kutoka tunisia alisema social media ndo zilifanikisha kwa sababu magroup mengine ya kawadi ya kijamii huwa yana uongozi unaoweza kuzibwa mdomo kwa urahisi na watawala ndiyo maana imechukua muda mrefu kufanikisha mapinduzi kama haya. Maggurupu kama vyama vya wafanyakazi na wanharakati wanaweza kuhongwa kwa urahi maana wanaviongozi. Amesema social network siyo rahsi kuhongwa maana hazina viongozi na wala hamna mtu anayeonekana physically. Hapa ndipo madikteta wamekwama.
  Mimi ninakubaliana na kabisa kwamba kile kilichotokea tunisia kinaweza kutokea nchi nyingi za afrika hivi karibuni kwa sasbabu ya hizi social networks ambazo zimewapa watu freedom of expression toufti na zamani ambapo mtu unaogopa kuikosoa serikali hadharani maana madikteta watakukamata na kuishia kusiko julikana.
  Naamini hata hapa jf tumeona namana ambavyo watu wana chambua serikali ya jk pasipo woga na ninaamini michango ya jf itakuwa ukombozi wa tz kutoka utawala dhalimu wa ccm.
  Napenda kuwatia moyo wana jf kwamba
  Michango yenu ndiyo itakayoleta mabadiliko maana haitaweza kunyamazishwa na utawala dhalimu wa ccm. Wanaweza kuwnyamazisha vyama vya upinzani lakini siyo wanamtandao wa kijamii.
  Hofu yangu ni uwezekano wa serikali dhalimu za kiafrika kuanza kublock access ya hizi social media kwa manufaa yao. Lakini wajue kwamba is too late to stop the change!
  .
   
Loading...