Social Media mpya kwa wapenda mpira inaitwa Dugout

Son of Gamba

JF-Expert Member
Oct 26, 2012
4,358
6,077
Kwa wale wenzangu ambao ni mashabiki wa mpira wa miguu hasa wa timu za Ulaya, mnaletewa kitu kipya kinaitwa Dugout.

Mtandao huu unafanya kazi kama vile facebook au Instagram lakini wenyewe unahusu habari za wacheza mpira wa miguu pekee. Uzuri wa mtandao huu tofauti na facebook au Instagram, ni kwamba unaweza kuwaona wachezaji wote bila haja ya kumfollow mmoja mmoja. Hapa utakutana na timu unayoipenda na pia unaweza ukafuatilia kwa karibu timu nyingi sana kwa wakati mmoja.

Mimi nimeanza kuutumia na hakika nimefurahishwa sana. Pia ndani ya mtandao huu utakutana na fans wenzako na mnaweza kujadili mambo yoyote yale kuhusu timu mnazozipenda. Nilichokipenda zaidi pia humu ndani ya mtandao huu unaweza kuona mechi mbali mbali zilizochezwa na pia kuna clips fupi za wachezaji wakiwa kwenye mazoezi, au mahojiano na waandishi.

Mtandao huu unafaa sana kwa wale wazee wenzangu wa kuweka "mikeka" kwani utakuwa unakupa taarifa za wachezaji mbalimbali unaowafuatilia hivyo itakuwa rahisi kwako kujua nani yuko fit au la.

Namna ya kujiunga, ingia, Dugout - Football Inside Out na utapewa maelekezo namna ya ku join. Karibuni tufurahie soka!

Source; BBC NEWS
 
Mi nitafutie za kutafuta warembo
Pole ndugu, warembo wa kwenye mitandao sio issue kabisa, unaweza date hata mapepo. Isitoshe mimi sio mtu wa kuhangaika na hao uanowaita "warembo". Niko na mrembo wangu mmoja ananitosha mkuu, kama Adam vile alivyokuwa na Hawa wake.
 
Jamani mimi nimepta ajali ya gari nikaanguka kutoka ndani ya gari hadi barabarani nikaangukia kichwa upande wa kushoto hivyo hapa sikio limeziba na upande wngu wte huu umepooza, nimeenda muhimbili nmefanyiwa checkup wamesema cjapata madhara kichwani sema kuna neva nimeigonga xna, ila cha ajabu wamesema hakuna dawa na huku me naona mdomo wngu unazidi kupinda kabisa na jicho lngu lmestaki......jamani kama kuna mtu ana ufahamu na kitu hiki anisaidie nifanyeje wakuu.
 
Muone "ummy-mwalimu"
 
pole sana mkuu kwa matatizo hayo kama ni kweli. Ila hiyo avatar yako ndo hivyo saa hizi unaonekana au ni picha tu?
 
Back
Top Bottom