Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,656
- 59,718
Hawa ni watu kwenye mitandao ya kijamii kazi yao ni kusema chochote maadamu wapo nyuma ya keyboard.
Hii jamii ya watu hawa inaundwa na Ubunifu usio na kawaida, wanajihusisha na debate mbalimbali kwenye mitandao, kazi yao ni kuweka comment za kuchochea, kudhalilisha na zenye kudharau watu wengine.
Wenyewe kazi yao ni kujibu sehemu kadhaa ya comment zinazowekwa na watu wengine kwenye mtandao. Akitokea mtu mwenye Logic Comment "wana Dismember"
Wapo baadhi ya watu wa namna hii Tanzania:-
1. Mari Sarungi
2. Fatma Karume
3. Zitto Kabwe
Na wengine wafananao na hao.
Sikiliza video hii kisha uweke comment zako.