Social justice warrior - SJW

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,656
59,718
Hawa ni watu kwenye mitandao ya kijamii kazi yao ni kusema chochote maadamu wapo nyuma ya keyboard.

Hii jamii ya watu hawa inaundwa na Ubunifu usio na kawaida, wanajihusisha na debate mbalimbali kwenye mitandao, kazi yao ni kuweka comment za kuchochea, kudhalilisha na zenye kudharau watu wengine.

Wenyewe kazi yao ni kujibu sehemu kadhaa ya comment zinazowekwa na watu wengine kwenye mtandao. Akitokea mtu mwenye Logic Comment "wana Dismember"
Wapo baadhi ya watu wa namna hii Tanzania:-
1. Mari Sarungi
2. Fatma Karume
3. Zitto Kabwe
Na wengine wafananao na hao.
1550229771824.png

1550229831374.png

Sikiliza video hii kisha uweke comment zako.
 
Hawa ni watu kwenye mitandao ya kijamii kazi yao ni kusema chochote maadamu wapo nyuma ya keyboard. Hii jamii ya watu hawa inaundwa na Ubunifu usio na kawaida, wanajihusisha na debate mbalimbali kwenye mitandao, kazi yao ni kuweka comment za kuchochea, kudhalilisha na zenye kudharau watu wengine.
Wenyewe kazi yao ni kujibu sehemu kadhaa ya comment zinazowekwa na watu wengine kwenye mtandao. Akitokea mtu mwenye Logic Comment "wana Dismember"
Wapo baadhi ya watu wa namna hii Tanzania:-
1. Mari Sarungi
2. Fatma Karume
3. Zitto Kabwe
Na wengine wafananao na hao.
View attachment 1023259

View attachment 1023260

Aisee
 
Umeingia cha kike,Mange kimambi fits the profile ila sio hao uliowataja!
Mfano sahihi mahala ambapo si sahihi!
 
Hawa ni watu kwenye mitandao ya kijamii kazi yao ni kusema chochote maadamu wapo nyuma ya keyboard. Hii jamii ya watu hawa inaundwa na Ubunifu usio na kawaida, wanajihusisha na debate mbalimbali kwenye mitandao, kazi yao ni kuweka comment za kuchochea, kudhalilisha na zenye kudharau watu wengine.
Wenyewe kazi yao ni kujibu sehemu kadhaa ya comment zinazowekwa na watu wengine kwenye mtandao. Akitokea mtu mwenye Logic Comment "wana Dismember"
Wapo baadhi ya watu wa namna hii Tanzania:-
1. Mari Sarungi
2. Fatma Karume
3. Zitto Kabwe
Na wengine wafananao na hao.
View attachment 1023259

View attachment 1023260

Sikiliza video hii kisha uweke comment zako.
Na wewe uko kundi gani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi yao ni kuweka comment za kuchochea, kudhalilisha na zenye kudharau watu wengine.

Wenyewe kazi yao ni kujibu sehemu kadhaa ya comment zinazowekwa na watu wengine kwenye mtandao. Akitokea mtu mwenye Logic Comment "wana Dismember"
Wapo baadhi ya watu wa namna hii Tanzania:-
1. Mari Sarungi
2. Fatma Karume
3. Zitto Kabwe
Na wengine wafananao na hao.
View attachment 1023259

View attachment 1023260

Sikiliza video hii kisha uweke comment zako.

Kwani nani amesema comment mbaya!?

Soma haya maelezo yako mafupi kwa uangalifu mkuu
 
Back
Top Bottom