Alimaanisha 1,000 na si 1,0000 kama ilivyoandikwaSamahaniii hiyo nauli- kutoka kibaha Hadi hapo madrasa ni 10000 kwa pikipiki au umekosea kuandika ulimaanisha 1000
Kweli kabisa nimekosea ni 1,000 (Elfu moja) kutokea stendi ya Miyomboni.Samahaniii hiyo nauli- kutoka kibaha Hadi hapo madrasa ni 10000 kwa pikipiki au umekosea kuandika ulimaanisha 1000
hebu soma tena kilicho andikwaMzingatie na elimu dunia pia.
Hivo viwanja mnauza bila riba vipo wapi bossShule ipi unaiongelea?
Kuna Abraar Nursery School ambayo ujenzi umenza tayari. Kuna shule ya sekondari ya Vitendo, ambayo ni shule ya Serikali lakini Abraar tumejitolea kuwajengea darasa moja la la vifaa vya kisasa na pia kuna Shule ya Abaraar Mkuranga ambayo ipo kwenye upimaji.
Unaongelea ipi kati ya hizo?
Kwa sasa kuna vianja vipo Village Abraar, Mkuranga. Pia kuna viwanja vipo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani.Hivo viwanja mnauza bila riba vipo wapi boss
Na no sh ngapi??
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Uliouandika ni ukweli usiopingika na mawazo chanya (positive thinking) kabisa.Tumezoea kuzoea mazoea, kuna wakati tunabidi tufikirie nje ya sanduku, kwanza tuache kuitana majina mabaya, kwani jina baya humuua mbwa, halafu tuwe na dhana njema kwa kila mmoja wetu, ikiwa unadhani kuna mtu anaweza kudhulumu au kudhulumiwa katika mradi huu basi jaribu kuelewana na muhusika ili upate kujihakikishia ukweli, utekelezaji na uhalisia wa mradi wenyewe huenda ukawa na fikra bora zaidi za kuboresha mradi huu kwani nia ya mradi ni mtu kupata makazi kwa gharama nafuu, kutoa elimu ya ujenzi bora na wa gharama nafuu na kutoa ajira, kwa kweli ikiwa tutaweza kuungana mkono bila shaka hatatokea mtanzania mwenye kukosa nyumba ya kuishi.
Tuwekeni imani zetu pembeni, kama Mzee Abdul Ghafur angetaka mradi huu uwe kwa watu wa imani moja tu basi angekuwa akitangazia katika sehemu zao za ibada, lakini kauleta hapa penye kila ya aina watu ili watu wapate nao kujua kuwa mtu anaweza anza kujenga hata kwa 2500/-, tumezoeshwa kujenga nyumba lazima uwe na pesa nyingi, kumbe hata ukiwa na pesa kidogo unaweza anza kujenga.
Hatubagui dini wala kabila. Tunao hapa wanafunzi wa kila dini, kila rangi, kila kabila. Tunao hata wasio na dini.Mimi mkristo maweza kujiunga?
Aisee .na kuhusu biashara mitaji boss??Kwa sasa kuna vianja vipo Village Abraar, Mkuranga. Pia kuna viwanja vipo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani.
Si viwanja tu, pia tuna mpango wa kipekee wa ujenzi, haujawahi kutokea. Mpango huo uakuwezesha kuanza kujenga bila jasho bila riba. kKwa kadiri ya uwezo wako ndivyo ujenzi unaendelea kwa kuanzia na Shillingi 2,500 tu. (Ndio, Shillingi elfu mbili na mia tano tu. Sijakosea.).
Ukishasema wanafunzi maana yake kuna jambo wanajifunza NI NINI?HICHO WANACHOJIFUNZA?AU KARATE?Hatubagui dini wala kabila. Tunao hapa wanafunzi wa kila dini, kila rangi, kila kabila. Tunao hata wasio na dini.
Karibu sana.
Ishi kwa hekima mkuu.hutopungukiwaUkishasema wanafunzi maana yake kuna jambo wanajifunza NI NINI?HICHO WANACHOJIFUNZA?AU KARATE?
Soma vizuri post namba 1 kipengele cha pili tumeelezea mafunzo yaliopo au kama u mvivu wa kusoma au kama unachosoma hukielewi hakuna tatizo, fika hapa kwetu ujionee tunachofundisha kwa vitendo.Ukishasema wanafunzi maana yake kuna jambo wanajifunza NI NINI?HICHO WANACHOJIFUNZA?AU KARATE?
Hapa Abraar tunaamini mtaji wa kwanza wa biashara ni wewe mwenyewe ufanyae hiyo biashara.
Isije kuwa njia ya kuwaunganisha na Is, Boko haram na Alishabab make nyie bana hamtabiliki"Social Economic Empowerment Program,." Mpango wa Kijamii wa Kuwezeshana Kiuchumi, Kwa mara ya Kwanza Tanzania. Haujawahi kutokea, duniani.
Ni mpango uliobuniwa na Madrassatul Abraar, iliopo mtaa wa Vitendo, Misugusugu, Kibaha, Pwani Tanzania.
Mpango ulianzishwa nakuasisiwa na Abdul ghafur kwa kujiwezesha kifamilia na marafiki wa karibu kutatua tatizo la kujipatia nyumba za kuishi kwa gharama nafuu.
Kwanini huji kujionea? Usiandikie mate na wino upo.Isije kuwa njia ya kuwaunganisha na Is, Boko haram na Alishabab make nyie bana hamtabiliki
Wewe mbona umeenda shule na hujaelimika?
Usibishane nao. Wanajaribu kuharibu hii mada.Wewe mbona umeenda shule na hujaelimika ?
Nani amekwambia ukisoma secular unaelimika ?
Kuelimika ni nini hasa ?
Watu wameelimika tangu zama ambazo "sucular" ilikuwa si yenye kutajika.
Utachomaje takataka bila kuleta madhara? Wee kweli Mzee wa madrasaUsibishane nao. Wanajaribu kuharibu hii mada.
Hawaamini wanachokisoma humu.
Sasa wazee wa Madrassa. tumekuja na ubunifu mpya kabisa. Suluhishi la gharama nafuu kabisa na lenye ubora wa hali ya juu kwa usafi wa jiji letu pendwa la Dar na majiji na miji yote ya Tanzania wanaojali usafi na mazingira.
Tumekuja na suluhisho la viosk vya boiashara vya kisasa na vyenye ubora wa hali ya juu. Vinaweka maingira safi na salama.
Pia tuna mapipa ya taka safi, salama, yasiyoweza kuibuwa, unaweza hata ukachoma taka zako hapo hapo kwnye pipa bila kuleta madhara.
Tutayatangaza hivi karibuni na ukipenda maelezo zaidi tutafute whatsapp au telegram 0625249605.
Suluhisho pekee la usafi na mazingira la kudumu pia la kupendezesha iji/mji
Madhara ya nini? Na taka zinachomwa ndani ya "fortified concrete blocks?Utachomaje takataka bila kuleta madhara? Wee kweli Mzee wa madrasa