Soap web application! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soap web application!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MtuMmoja, Sep 11, 2011.

 1. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #1
  Sep 11, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ebwana,kuna language inaitwa SOAP,ambayo ni kama PHP,SASA wakuu naomba msaada kidogo kwa aliyewahi kufanya hii language,mana kuna jamaa mmoja anajulikana kama MIHAYO wa UHURUONE katika workshop moja iliyofanyika pale SCIENCE mwenge iilyoandaliwa na COSTECH ambaye aliisisitizia kwamba ni language nzuri tu!!!nipeni picha kidogo wazee kuhusu hii!!
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
 3. HT

  HT JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hawa ndio wataalamu wetu? Tuna safari ndefu sana!
   
 4. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #4
  Sep 13, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Thanks 4 editing!!!you're good Editor!!!Kaka nielimishe kama unajua,kwa style hii hatutafika!!!!
   
Loading...