So Violent people on earth? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

So Violent people on earth?

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Tumain, Nov 26, 2009.

 1. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #1
  Nov 26, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Nashangaa na kusikitishwa, Baada ya kutafiti historia ya vita na uvamizi kupta kutokea duniani kwa zaidi ya miaka 1,700 iliyopita nimegundua kwamba “vita vyote vimeanzishwa na mataifa yanayojiita mataifa ya kikiristo. duniani.

  The most deadly were the so called


  1. Hundred years War,
  2. The Thirty Five Years War,
  3. WW1 and WW2

  All fought in Europe and wiping out tens of millions of people. Add to those the US invasion of Vietnam and resulting 3,000,000 Vietnamese deaths and now the current invasions of Afghanistan and Iraq.

  In fact I cannot find a time when the same nations were not at war somewhere. Why do you think it is that these so called Christian people are so violent? I am curious.
   
 2. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Ni point nzuri sana umeiweka hapa Tumain, kwa kuongezea, hakuna watu waliofanya maovu katika historia ya dunia kama wafuasi wa hizi dini mbili yaani ukristu au uisilamu, lakini sanasana wakristu wamefanya maovu makali sana probably kuliko waisilamu.

  Je unajua kuwa ni papa wa Roma aliyekuwa kiongozi wa kwanza kuidhinisha utumwa wa waafrika?

  Hakuna dini za amani kama dini zetu za jadi, ndio maana wakati mwingine nasema labda waafrka tulikurupia hizi dini( oh by the way I forgot we were forced! become a christian or be killed by the germans, convert to Islam or be take to slavery!)

  If you examine these so called religions of peace you find nothing but chaos and genocide of the highest order.When the white man adopted christianity , we all know the result.
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,007
  Trophy Points: 280
  Hivi ni kwa nini mtu mzima kabisa anakuwa muongo au anaongea mambo asiyoyajua mbele ya watu
  Waarabu wameanza biashara ya utumwa Africa kabla ya Kristo (kabla ya Papa)
  hebu soma historia yako vizuri
   
 4. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Waislamu huwa mnachekesha sana siku zote. Hivi ukiondoa Vatican ambayo ni typical Catholic state kuna taifa linaloitwa taifa la Kikristo duniani? Hivi tangu lini Marekani, Urusi, Ujerumani, Uingereza and the co. yakaitwa mataifa ya Kikristo duniani? Nani aliyekudanganya wewe Tumaini? Hujuwi kuwa mataifa haya yamesheheni wapagani na waabuudu dini za shetani?

  Tukiliacha hilo, hivi kuna dini inayochochea ghasia dunia kama dini ya uislamu? Na matokeo yake tunayaona duniani kote leo hii. Dunia sasa si salama na watu wanahofia usalama wao kila mahali kwa sababu ya dini inayoitwa uislamu. Bila uislamu dunia ingekuwa mahali salama kabisa pa kuishi. Lakini leo hakuna amani kisa, kuwepo kwa dini inayoitwa uislamu.
   
 5. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mataifa yote waliyoanzisha vita vikubwa duniani kupata kutokea kwa mujibu ya historia...ni yale yenye wakristo wengi..ndiyo maana nikisema inasikitisha jamii hii ya kikristo is so violent species on earth na wanaendelea ku-prove kwa kufanya yafuatayo:
  colonization, invansion of other countries, etc...nchi zenye waislamu wengi waliovamia nchi nyingine tuambie ni zipi? na mara ngapi?
   
 6. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Ukisoma madrasa kichwa kinajaa upepo, maji au namna gani? Vita vya kisiasa km WWI & WWII vinaitwa vya kidini! After all ni wakati gani ambao Yesu Kristo aliagiza watu waue wenzao? Kama hakuagiza, ni maagizo ya nani? Kwa upande wa Jangili Muhammad mambo ni tofauti, aliagiza mataahira wenzake kuchinja watu bila sababu yoyote! Yeye pia alichinja watu kuliko maelezo!
   
 7. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Sema yana Wakristo wengi lakini si mataifa ya Kikristo. Na si kweli kuwa jamii ya Kikristo ni violent ukilinganisha na jamii ya kiislamu. Kumbuka mataifa hayo yanaongozwa na serikali isiyokuwa na dini na mara nyingi inashikiliwa na wapagani au waabudu mashetani kama FreeMasons etc. Kuhusu suala la mataifa ya kiislamu kutovamia mataifa mengine hili ni suala la kumshukuru MUNGU kuwa mataifa ya kiislamu hayana ubavu huo vinginevyo pasingekalika hapa duniani maana maagizo ya quran yenu yanatisha. Pia usisahau kuwa Waarabu ambao ni waislamu walileta biashara mbaya kabisa ya utumwa na ukoloni huku kwetu Afrika ikiwemo Tanzania.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Nov 30, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Mataifa ya kiarabu yaliyowahi kuvamia mataifa mengine: Iraq iliivamia Iran, Iraq iliivamia Kuwait ambayo ilikombolewa na Marekani na washirika wake, Mataifa ya Kiarabu kuivamia Israeli mwaka 1948, 1967 na mwaka 1973, mataifa ya kiarabu kufanya biashara mbaya ya watumwa dhidi ya mataifa mengine, marehemu Muhammad kupigana vita vya kikatili vya Jihad dhidi ya wayahudi na wakristo, magaidi ya kiarabu/kiislamu yanayo-operate dunia nzima yakiwa kwa mfumo wa Islamic militants-Al Shabaab, Hezbollah, Islamic Jihad, Tamil Tigers, Boko Haram, Al Qaeda, Hamas, Al Aqsa Martyrs Brigade, Janjaweed, etc, just to mention but few!
   
 9. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kuna tofauti kubwa kati ya vikundi vya kupigania uhuru (resistance groups) na mataifa yenye kuvamia, kuua watu na watoto huku yakijiadai wao ni wakristo...mifano ni merakani kuvamia afghanistan, iraq, uvamizi wa somalia, ww1, ww2, panama, ukoloni na utumwa uliofanywa na wakristo (whites) kwa miaka zaidi 500...ubaguzi wa south Africa (kwa kutumia biblia just ku-mention the few

  Sasa kuhusu issues ulizo-raise
  1. Israel ni made in europe (1945) baada ya kuhamisha, kuvamia na kuua watoto na kina mama waliokuwa na makazi yao..kisa eti wanafuata biblical history..again wametumia biblia kuhalalisha mauaji..
  2. Waarabu walichofanya ni kudai uhuru, na kuna kupigana ni njia mojawapo ya kudai haki yako..mataifa yenye wakristo wengi (vilent people) wakamsaidia muuaji na mvamizi muisrael kama kawaida wapenda vita
  3. kuhusu hizbellah is resistance army against wavamizi israel from lebano ni kazi halali kukataa kutawaliwa..(alqaeda is made in america, (jaribu kusoma vizuri (al-shabab ni baada ya wamerakani kukataa islamic court kutawala nchi yao..resistance group...na mengine yote uliyotaja ni resistance groups kwa sababu moja au nyingine...
  Inabaki kwenye record na history kwamba mataifa yenye wakristo wengi ni wabaguzi, wanyonyaji, wavamizi, na wengi wao ndio wametengeneza ma-dicteta wabaya kutokea katika historia ya dunia (kumbuka berlin conference kugawa africa lol.
   
 10. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  You can be better than this crap,kutaukana hakukusaidie wewe jitahidi kuvumilia maana ukweli unauma sana

  mataifa wenye wakristo wengi ndio yaliyofanya mauaji mengi kupita mataifa mengine..achana na yesu, muhammad kwa sasa. Yesu na Muhammad tutakutana nao siku ya kiama na Allah ataamua tumain na buchanan nani alikuwa mkweli...

  tuangalie historia ya miaka 1700 iliyopita na vita vikubwa kupigwa duniani na kuua watu wengi sana na watoto vilianzishwa na nani na ni mataifa yenye watu wanajiita dini gani ..ukristo.
   
 11. Mazingira

  Mazingira JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2009
  Joined: May 31, 2009
  Messages: 1,837
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kweli madrasa mbaya. Huu upupu uliondika hapa unatokana na kuharika kwako sababu ya elimu mbaya kabisa itolewayo kwenye madrasa. Pole!
   
 12. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Give us some tangible and impeccable exhibits to support your vendetta and/or fisticuffs fracas.
   
 13. M

  Mzee2000 JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2009
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 491
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Labda tunatofautiana hapa kidogo Tumain, Sidhani kama unaweza kusema kwamba mwisilamu ni peaceful zaidi.Mimi naona wote waisilamu na wakristu (yaani judeochristian religions) ni violent people usisingizie wakristu tu.

  Islam is apparently peaceful now because it has no power.The arabs are messed up big time, but given the chance or power muslims are probably the most violent people in the world.Islam was spread by the Sword(by Muhammed himself) and is still maintained by the sword(Convert to christianity today in saudi arabia an see what will befall you).

  On the contrary christianity started as a peaceful religion(unlike jesus mohammed, never fought wars) until the white man took hold of it and debased it finally turning it into the most violent religion, yes the arabs started slavery in Africa, but christians , i.e catholic countries like spain instituted slavery and other evils thereof in a scale never seen and would probably never see in the history of the world.

  Kwahiyo historia inaonyesha kuwa wakristu na waisilamu wote ni violent people lakini naamini kuwa mwisilamu given the power, will excell in conquest just as the Muhammed himself, whom I am afraid to say,was more of a cruel pillager and than a mystic, Although it terms of violence so far, white christians have surpassed muslims.
   
 14. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  na wewe ni most violent person in this thread, kwasbau hutaki kuchangia unapenda kutukana waislamu pole..

  sasa yale mataifa yanayojiita au yenye wakristo wengi ndio yaliendesha biashara mbaya na kikatili ya utumwa duniani kote nayo ni whites christians from UK and US hilo nalo unahitaji kubisha?

  Germans under hitler from christian nation ndiye aliwaua waisrael wengi na kusababisha vita vikuu vya dunia hilo nalo unabisha?

  itaendelea...
   
 15. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #15
  Nov 30, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Huwezi kubadili ukweli kuwa uwongo! Huwezi kusema mtu anayeenda kinyume na maagizo ya marehemu Muhammad (Uislamu) eti katumwa na huyo shetani Muhammad! Similarly, huwezi ukahusisha maagizo ya Yesu Kristo (Ukristo) na mauaji! Remember, wingi sio usahihi! Hivyo vikundi vya Al Qaeda, Al Shabaab, Janjaweed, Boko Haram vinavyoua wakristo na kuchoma moto makanisa kila leo vinapigania uhuru upi huo? Al Qaeda walipolipua ubalozi wa Marekani nchini na kuua Watz kibao walikuwa ni freedom fighters au ni maagizo ya marehemu Muhammad kufuata nyayo zake, jinsi alivyochinja watu na kubaka wanawake baada ya kuchinja waume zao? Watoto wangi walikuwa yatima kwa sababu ya mauaji yake!
   
 16. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Tuanzie hapa kwanza halafu tutaendelea uone..how violent and cruel the countries with most christians
  • 1095-1291 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Crusades"]The Crusades[/ame]
   • 1101 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Crusade_of_1101"]Crusade of 1101[/ame]
   • 1147–[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/1149"]1149[/ame] [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Second_Crusade"]Second Crusade[/ame]
   • 1187–1191 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Third_Crusade"]Third Crusade[/ame]
  • 1122–1127 Jurchen-Sung War
  • 1147-1242 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Northern_Crusades"]Northern Crusades[/ame] Conflicts distinct from those of the Crusades
  • 1159–1176 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Guelphs_and_Ghibellines"]War of the Lombard League[/ame]
  • 1160–1184 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Absalon"]Danish-Slavic Wars[/ame]
  • [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/May_1"]May 1[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/1169"]1169[/ame] - The [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/England"]English[/ame] backed [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Norman_invasion_of_Ireland"]Norman invasion of Ireland[/ame]
  • 1170–1203 Khmer-Cham War
  • 1180–1185 [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Genpei_War"]Genpei War[/ame]
  • 1185–1186 Vlach-Bulgarian Rebellion
   
 17. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #17
  Dec 1, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama mtu ni violent, (pia mzinzi, mbakaji, mwizi, nk) halafu bado unamwita "Mkristo" (au Mkristu kama ulivyoandika) nakupa pole sana! Your words are simply political and far from the reality and true nature of faith in Christ Jesus! Nakupa tena pole sana!
   
 18. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ok, for the sake of argument ikiwa mtu ni violent etc...siyo mkristo, basi na-modify "watu wanaoishi nchi zenye wakristo wengi wametokea kuwa ndio watu wahalifu, wagomvi, wazinzi na wabakaji etc" kuliko watu wote katika historia ya dunia..

  hapo vipi bado una ugomvi
   
 19. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  During the time frame you have mentioned, that is 1700 years, the West has been wealthier and more powerful than Arab states. Just try to investigate and see when is the last time an Islamic/Arab state was a world power. Even if Muslim/Arab states would have wanted to start wars who will they start war with when they have no power?

  Before we can make any judgement of who is more violent or not I ask this of you. If you are interested in making a fair and unbiased judgment (as you have so often point out that you call "a spade a spade"). First of all to start a war means a nation must have reasonable power to initiate and money to maintain combat. So if you want to compare the level of violence put forth evidence of when any Islamic/Arab state(s) was a world power(s)( I doubt you will find many if any but try). Then let us compare. And also keep in mind that during the time when the West has been the wealthiest weapons have also advanced(from swords during the expansion of Islam to WMD today). Today even if an Arab state wanted to be violent it has no power to attack anyone of significance (sana sana wata vamiana wenyewe kama Iraq did to Kuwait & Iran).

  Also to prove your point you must make a connection between being violent and being Christian. Are these whites being violent because they are Christian or is it because of something else? Are there teachings in the Bible that encourage violence? Are there teachings from the Koran which encourage violence. Religion is only one aspects that influences are behavior. The reason I say this is because your evidence only talks about white Christians. So if Christianity causes violence then you would see the same traits with African Christians, Asian Christians, Latin American Christians. You can't say Christians are violent and only give evidence of Christians from one side of the world. I could argue that their trait is unique to them only and thus can not qualify to include all Christians.

  So as you continue to put forth your arguments and evidence I would like you to consider the above if you are open minded. Now from all my above points lets bedate and bring on the facts and logic.
   
 20. Tumain

  Tumain JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 28, 2009
  Messages: 3,158
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  MwanaFA,
  Kwa hiyo wealth ndiyo inayomfanya mtu awe violent? kwakuwa christians were wealthier ndio maana wamekuwa violent in the recorded history of the existing world?

  Tusiongelee "wange" tunaongelea wars zilizo kwisha piganwa duniani mpaka leo? nchi zipi zinavamia nchi zipi na nchi hizo majority wa wananchi wake ni dini gani...the is my concern! kwahiyo na nullify hiyo wishingfull thinking yako..waarabu/muslims would, because hawajafanya bado..hatufanyi utabiri hapa ni historical facts..
   
Loading...