Kama una dini msalie/mswalie Mungu wako,zungumza nae..
Huna ndugu?tafuta wa kuzungumza nae!
Post Script:
Social Networks revolution imefanya tujiweke mbali sana na Mungu na ndugu zetu,watu tumetokea kuabudu sana mashine,tunaamini someone online can do better than that relative tunayeishi nae kwenye nyumba moja!
wewe ni he/she?
Pole sana!I'm a gal
Asanta saana
Am just staying alone..Mungu wangu nishamuomba sana n naendelea kumwomba
I'm a gal
Thanx much wote mnao nesha kuguswa na tatizo langu...
Ma stress na matatizo yasiyo na kichwa wala mguu yasikie tu kwa wenzio...omba sana yasikufike
this life is too tough... Ukitingwa share with someone you trust....
This life is too tough... ukitingwa share with someone you trust....
tatizo ni huyo wakutrust...mimi nikiona yamekua mazito nafanya kuandika najaza pages and pages then nadelete...
tatizo ni huyo wakutrust...mimi nikiona yamekua mazito nafanya kuandika najaza pages and pages then nadelete...
Hahaha nimeipenda hyo