So Sad!...@SnowBall nawaageni hapa MMU..

SnowBall

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
3,054
2,840
Wanabodi heri ya mwaka mpya kwenu wote

Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha kuwepo hapa kwa muda mrefu kidogo...Lakini pia niwashukuru nyote kwa kunipokea. Tumeishi vizuri na mmekuwa msaada kwangu kwa kipindi nilichokuwepo hapa. Ila kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu sitakuwa na ninyi kama tulivyozoea. Kwa wale wenye simu yangu nadhani tutawasiliana huko..nitakuwa nje ya social networks kwa muda.
Binafsi ntawamiss sana ila imebidi.
Mwenyezi Mungu awabariki sana
Ndimi wenu mdogo SnowBall
 
Last edited by a moderator:

Dah! Kwema lakini kaka? Ina maana unamuacha pacha wako snowhite peke yake?
 
Last edited by a moderator:
Mmmh! Kaka vipi tena?
Maelezo yako kama yana desh desh vile!!!
...
Haya bhana mi nakutakia kila la heri!
Uende salama na urudi salama!
I hope God will help you!!!!
 
Mmmh! Kaka vipi tena?
Maelezo yako kama yana desh desh vile!!!
...
Haya bhana mi nakutakia kila la heri!
Uende salama na urudi salama!
I hope God will help you!!!!

Hakuna tatizo mkuu
Ni majukumu tu yameongezeka na hivyo sitopata tena muda wa kuja huku
Kwa sbb nilipiga hodi siku ya kuingia nimeona niage pale ninapotoka..
be blessed all
 
Hakuna tatizo mkuu
Ni majukumu tu yameongezeka na hivyo sitopata tena muda wa kuja huku
Kwa sbb nilipiga hodi siku ya kuingia nimeona niage pale ninapotoka..
be blessed all

Ok Mkuu!
"So Sad!..." ilinitisha kidogo! But kama ni majukumu yanakulazimu iwe hivyo, itabidi iwe hivyo hivyo!
...
Mashaxizo wish you all the best!
 
ON THE WAY TO HELL AU?THAT'S MEANS SEHEMU UNAYOENDA AU NCHI HiYO HAINA ACCESS YA INTANETI/EVEN MOBILE HANDSET
 
Dah si habari nzuri sana kwa wana MMU hasa ukizingatia michango yako na heshima yako hapa jamvini..

Ila tutakumiss sana anyway aiseeee
 
We acha uhun na id zako nying nying,umetoka na snowball utarud na kitu ingne kama "Volcano" afu uanze fatilia wadodo wa watu MMu,mtu mzima hovyooo
 
Back
Top Bottom