snow snow
Senior Member
- Sep 12, 2014
- 118
- 88
Brightone Chonjo
Snowden amuomba Trump amuachie Julian Assange kizuizini nchini United Kingdom kabla hajahukumiwa.
Snowden ni mdukuzi (Hacker) ambaye alikuwa ameajiriwa na serikali ya marekani kitengo cha ujasusi yani (CIA) alifukuzwa kazi baada ya ku kopi na kusambaza habari za siri za marekani na ndipo alipo kimbilia Russia walipo mpa hifadhi mpaka sasa, amemuomba raisi anae maliza muhula wake Trump kumuachia Assange ambaye huyu ni ni raia wa Australia ambaye kazi yake ni mwandishi wa habari lakini anauwezo wa kuhariri na kutoa kwa uma na bado ni mwanaharakati hasa kwa mabo ya marekani .
Ambapo aliweka hadharani habari za vita mauaji na matumizi ya silaha mbalimbali za Marekani kwenye magazeti ya Marekani kama Washington Post na New York Times ambapo kikawaida hilo ni kosa kubwa sana la kiusalama wa taifa (National security ), yani kwa Tanzania tukute habari za jeshi zile nyeti kwenye Nipashe hahaha.
Sasa ukiangalia hapa maana yake Snowden alikuwa anadukua anampa rafiki yake Assange anaweka kwenye magazeti , ufahamu kuwa Assange alisha shikwa kwa makosa mengine ya kiudhalilishaji wa kingono na sweden alipo achiwa akapata hifadhi UK na ndipo alipo shikwa na serikali ya kule baada ya marekani kutoa tamko kuwa anamadai ya kuweka hadharani habari nyeti hapo ikiwa ni 2016 kwenye uchaguzi wa marekani ambapo WikiLeaks waliposti baadhi ya habari hizo....lakini 23 may 2019 ndipo alipo kamatwa UK uchunguzi ukiendelea na endapo atagundulika na makosa atafungwa miaka 175.
mwezi uliopita patna wake stella ali post picha za watoto wake wawili twiter kwamba wanamhitaji nyumbani.