**Snow in Nyahururu Kenya**

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,550
6,061
Hali ya hewa sasa mswano sana. Ikiendelea hivi na sisi huku Africa siku moja tutaja mkaribisha Hermann Maier na Muitaliano Albarto Tomba ajulikanaye kama "Tomba la Bomba" ("Tomba the Bomb") aje ateleze kwenye snow ya Africa. Siku hizi kweli hakuna cha kushangaa kwani kila kitu kinawezekana.

_________________________________________________________

'Snowfall' shocks Kenyan village

Residents of a village in central Kenya were shocked to see a blanket of hail resembling snow covering their land.

"I have not seen such a thing ever since I was born," said one resident of Nyahururu.

"Where shall we graze our cattle now? We do not know when this thing will melt," said another.

The Meteorological Department dismissed claims that the area had experienced snowfall, saying it was just hail which did not melt because of cold weather.

There is snow in Kenya - but only on the summit of the nearby Mount Kenya.

The storm caused widespread damage to food crops, grazing fields and greenhouses at a nearby flower farm.

The hail covered 100 acres (40ha) of land and was at least four inches deep, privately-owned NTV station reported.

'Looks like stone'

"You can see this is heavy, it's not powdery the way you'd expect snow to be," said Samuel Mwangi, the assistant director for weather forecasting at the Meteorological Department. "Nyahururu is cooler so when the hail falls, it will tend to linger for hours on the ground," he said.

James Kariuki, a local journalist, said at least 50 acres (20ha) of maize and 10 greenhouses at a flower farm were damaged by the storm.

Many of the villagers said they had never witnessed such an occurrence.

"This is not even rain, it is something that just fell suddenly. Even if you try digging into it, you will not find any water, it just looks like stone," one villager said.

Mr Mwangi said that parts of western Kenya frequently experience hail storms, but there the stones melt instantly due to high temperatures.
 
Nilistaajabu waliposema snow, kwenye luninga. Iliyoanguka Kenya sio snow kama ambavyo imedhaniwa. Hii habari uliyoleta imeweka mambo sawa.

Kwenye kiswahili sidhani kama kuna neno linalotafsiri hail kutofautisha na ice pellets.
Anyway, what happened is fascinating. Ningependa kujua temperature ilikuwa ngapi.



_44984151_snow226.jpg


.
 
Hivi ITV walisema snow au theluji?






2_239477_1_248.jpg





“We thought a big white sheet had been spread, so we decided to come and see for ourselves. We thought that it was Jesus who had come back,” one villager told reporters.


“In fact this thing is very sweet, we have never seen anything like this. We like the ice so much because with the sun being hot, you take it and you feel satisfied,” resident Simon Kimani said.


SOURCE






.
 
Mvua ya mawe siyo? Heee!!!
Nawapa pole vijana kupigana kwa kurushiana haya mawe/snow kwa sababu ni kweli REAL SNOW huwa ni nyepesi sana sasa haya MAWE kweli ukibandikwa usoni, mhh?? Kama zilivyo mvua za mawe ni kweli huwa zinafanya uharibifu mkubwa sana kwa mazao. Yote tisa ila kumi ni kama kule kwetu haya mawe yakianguka basi huharibu kabisa MAJANI YA TUMBAKU. Wakulima na kupata mikopo yote na majani kuharibiwa, huwa ni hasara kubwa sana kwao na kuwaacha na DENI. Haina tofauti kubwa na NZIGE.
 
Back
Top Bottom