Sneak Peek: Anna Mkapa na EPA

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Nilidhani nimeshajua kila kitu kuhusu EPA... then comes this! Anna Mkapa (mke wa aliyekuwa Rais wetu BWM) anadaiwa kuwa na connection ya ajabu (au inayomake sense) ya EPA... Baadhi ya washitakiwa (ambayo majina yao yamewekwa kapuni) walielekezwa juu ya uwepo wa akaunti ya EPA na jinsi ya kupeleka "maombi" yao na Bi. Mkapa. Kwa muda mrefu nilikuwa nauliza kwanini Mkapa haonekani kwenye EPA moja kwa moja wakati mambo haya yanaonekana kufanyika mbele ya uso wake...

Ka nzi ketu ambako kamebahatika kufika kusikotakiwa kufika kanadokeza kuwa connection ya Mkapa na EPA inapatia kwa mama Anna Mkapa!
 
Huyu Mama amewaaibisha sana wachagga...Ni kivipi awe mwizi kiasi hiki na tena bila huruma kwa wananchi?
Ama amejifunza kutokujali kutoka kwa mme wake?
Mama kwa dili huyo ni mwenyewe...Ila naona wanamyemelea....Nadhani mafisadi wenye kuandamwa wamechukia kwanini iwe wao tu na wakati che nkapa na mama wametulia kama maji ya mtungi.
 
Huyu mama ni sawa na Mbuni kuficha kichwa chake chini ya mchanga huku kiwiliwili kikiwa nje....Yaani huyu mama ana uroho wa ajabu tena mlafi asiye shiba.,...Mipesa yote hiyo aliyo iba ya nini??Watu wengine bana iwa hawajifikirii sasa amekwiba anashindwa hata kuzirudisha P yake imeshuka hivi hakujifunza kwa mama Maria Nyerere anavyo heshimika sasa?
Huyu mama hata kwenye sherehe za kitaifa anashindwa kujitokeza aibu tupu huu ni wizi mtupu inabidi ashikishwe adabu umekaa Ikulu malupulupu kibao tamaa ya nini jamani???watu bana .
 
Nilidhani nimeshajua kila kitu kuhusu EPA... then comes this! Anna Mkapa (mke wa aliyekuwa Rais wetu BWM) anadaiwa kuwa na connection ya ajabu (au inayomake sense) ya EPA... Baadhi ya washitakiwa (ambayo majina yao yamewekwa kapuni) walielekezwa juu ya uwepo wa akaunti ya EPA na jinsi ya kupeleka "maombi" yao na Bi. Mkapa. Kwa muda mrefu nilikuwa nauliza kwanini Mkapa haonekani kwenye EPA moja kwa moja wakati mambo haya yanaonekana kufanyika mbele ya uso wake...

Ka nzi ketu ambako kamebahatika kufika kusikotakiwa kufika kanadokeza kuwa connection ya Mkapa na EPA inapatia kwa mama Anna Mkapa!

Kwa jinsi inavyoonekana...Tanzania haina mwenyewe...Yani shamba la bibi ni kweli tupu.
Mama yeye alijuwa kuna dili linakuja...Akaona awatonye watu wake ambao ni wafanya biashara namna ya kufuatilia dili...Sasa kama first lady alijuwa basi na Mkapa alijuwa..Hilo ni dili la ccm mama akaamua kutumia akili yake ya ujasiliamali akawatonya watu sasa wameingia mkenge wanatagemea wajisafishe na mama Anna.
Mimi nadhani Mama Anna ana mengi sana ya kujibu ila hili la EPA kuna watu wanataka kujisafisha tu.
Tukishasikia ushahidi mahakamani then tutajuwa upi mchele na ipi chuya.
 
"Look at these rumors
Surrounding us every day,
I wish sometimes, sometimes to get away,
..........................."
 
Mkuu Jmushi usihusishe group nzima, it is enough already. Mkoa unarepresent almost viongozi wote waliopelekwa Kisutu so u don't need to make it worse.

Disclaimer:: I'm against All ufisadi against the United Republic of Tanzania
 
damage already done..
 
Tatizo la sisi Africans ni tamaa tamaa taamaaa. Tukipata madaraka we think we are on top of everyone, hatufikiri kesho ni leo leo. Viongozi wan chi yetu wanafikiri we put their for us to serve them instead of them to serve us.

No one get my sympathy other than their families (those family members) who haven’t been involved in ufisadi issues, maana nimesikia Mkapa familia zima ni masifadi mpaka Watoto!
 
Of course wachagga na wapare ni wezi number 1 wa taifa hili, wakifuatiwa na maasai/meru, makonde, sukuma, haya, kwere, nyakyusa, hehe and the list goes to the end ambapo tunakuta wasioibia kabisa taifa hili ni ndorobo ambao bado wako zama za mawe.
 
Tatizo la sisi Africans ni tamaa tamaa taamaaa. Tukipata madaraka we think we are on top of everyone, hatufikiri kesho ni leo leo. Viongozi wan chi yetu wanafikiri we put their for us to serve them instead of them to serve us.

No one get my sympathy other than their families (those family members) who haven’t been involved in ufisadi issues, maana nimesikia Mkapa familia zima ni masifadi mpaka Watoto!

Oh yeah...Mkapa hadi watoto wakwe zake ni mafisadi....
 
hivi na mke wa raisi na yeye yuko kwenye kinga kama raisi? Yaani anaweza asishtakiwe kwa sababu mumewe alikuwa raisi? (Yaani mfano Mama Mkapa) au ni Raisi tuu peke yake?
 
hivi na mke wa raisi na yeye yuko kwenye kinga kama raisi? Yaani anaweza asishtakiwe kwa sababu mumewe alikuwa raisi? (Yaani mfano Mama Mkapa) au ni Raisi tuu peke yake?

This is very good point, lawyers, tuambieni, Mrs Benjamin W. Mkapa anakinga yoyote as a first lady!
 
Mimi nasema forget about kinga. Kinga for what? Kamata hilo jitu sasa hivi, somea mashitaka, funga gerezani.

Kwanza rationale ya kinga ni nini? Si kila mtu yuko chini ya sheria bana...sasa kama kuna lijitu lilivunja sheria ina maana tuliachie tu kwa vile liliwahi kuwa raisi? Oh hellllz naw!!
 
hivi na mke wa raisi na yeye yuko kwenye kinga kama raisi? Yaani anaweza asishtakiwe kwa sababu mumewe alikuwa raisi? (Yaani mfano Mama Mkapa) au ni Raisi tuu peke yake?

Itasikitisha sana kama rais mstaafu au mke wake wana kinga. Nionavyo mimi kinga huwa ipo kamna kuna shitaka la kosa alilofanya akiwa rais, kwa mfano alimuua mtu kwa sababu alufikiria kuwa huyo mtu anataka kuharibu amani nchini, baadaye ije gundulika kuwa haikuwa hivyo na akapelekwa mahakamani, hapo anaweza kutumia kinga ya urais, lakini kama alliba bila huruma, sidhani kama ana kinga. Lock him up. or exile him kama munamuonea haya na huruma.
 
Back
Top Bottom