SMZ yayapiga mkwara mataifa makubwa

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
serikali ya mapinduzi zanzibar imesema mabalozi watakao susia hizo sherehe watakua sehemu ya wapinga mapinduzi
 
Kwani ni lazima kufanyika mbona uncle Magu kapiga chini ya Uhuru?
 
Kwani mtu kwenda kwenye sherehe imekuwa ni lazima basi hii ni hatari
 
Kuna wakati naona yanayofanyika Zanzibar kupitia ccm ni mambo ya kitoto na ya kushangaza mno
Mambo ya Zanzibar miaka nenda, miaka rudi yanashangaza sana. Ni mambo ambayo ufumbuzi (solution) wake uko wazi lakini utatuzi unakwamishwa na viongozi.
Ni mambo yanayochochewa zaidi na viongozi kwa maslahi yao.
Utatuzi wa migogoro ya Zanzibar ni jambo rahisi kama viongozi wangekuwa wazalendo na wasio na uhafidhina.
 
Kwani ni lazima kufanyika mbona uncle Magu kapiga chini ya Uhuru?
Kwani mtu kwenda kwenye sherehe imekuwa ni lazima basi hii ni hatari
Kutafutiana tu sababu hakuna cha zaidi... Kuna wakati ifike watu waelewe nini cha muhimu na nini cha lazima... Zanzibar ina mahitaji mengi ya lazima kuliko hizo sherehe... Pesa itakayoteketea leo ingeelekezwa kwenye huduma za jamii hizi sherehe zingeleta ladha tofauti
 
Back
Top Bottom