Smz yakataa maeneo yake kuchimbwa mafuta

atakuja kuchimba sultan qaboos au jamsheed

watakuja hao hao mabwana zenu makaburu na makampuni ya ulaya yakishamaliza kazi ya kuhamisha dhahabu NA almasi tanganyika...
nakuongezea urenium imegunduliwa pemba kwa wingi sana sasa tunafanya mpango wa kutengeneza kombora la nueclear kwa msaada wa wazayuni tukimaliza tu tunalitestia buguruni kwa wauza mwili
chezea UAMSHO weweee
 
wazenj na viongozi wao no vision kabisa....

He he he he eee inawauma wazenji kutaka kuchimba mafuta wenyewe! waachieni ncho uone VISION YAO! wewe ndio 0 kabisa uliewaalika makampuni ya kigeni kule shinyanga na kwengineko na mpaka huko mkuranga na kuchimba na kuzoa kila kitu kukuachieni mashimo matupu.

Baba yenu nyerere alikataa haya kwa kusema anareserve hivo vitu kwa kizazi cha baadae lakini naogopa kusema kuwa hicho kizazi cha baadae kitakuta mashimo matupu na mafuta yote yameshakombwa na nchi za magharibi.

Go zenji go! NGOMA NA INOGILE ! ni dhahiri kero za Muungano zirekebishwe au wazenji sasa wameamka na kudai nchi yao! hureeeeeee bado OIC go zenji go !!!!
 
Hawa vilaza washaanza kelele zao. Nikiambiwa nichague kwenda kuishi Jehanamu au Zanzibar, nitachagua Jehanamu maana kuna uwezekano wa kukutana na watu wenye akili timamu kuliko Wazenji.

Wewe ndio muongo! ficha upumbavu wako! hivi zanzibar kusema watachimba mafuta yao wenyewe ndio uone hawana akili.

Wewe mtanganyika kuruhusu makampuni ya nje kuchimba dhahabu , tanzanite na almasi na kuvipeleka nje ya nchi ikikubakisha wewe masikini wa kutupwa nini unapta? na mafuta yoyte yatakombwa sasa wewe na wazenji wanaotaka kuchimba wenyewe nani ana akili?

Hivi jamii forums mie sielewi kabisa, kitu kama kinaletwa cha zanzibar kwa kuwa ni waislamu basi watu hawa hamna stara ya kuhangia na kuwapongeza hata kama thread ina maana fulani ! mbona ndugu zangu mna chuki ya kupitilza?
 
Hivi TPDC si ni ya Tanzania? au ishekuwa Tanganyika Petroleum Development Corporation?

The Tanzania Petroleum Development Corporation was established under the Public Corporations Act No.17 through the Government NoticeNo.140 of 30th May 1969. The Corporation began active operations in 1973. TPDC is a wholly owned Government parastatal, with all the shares held by the Treasury Registrar.
 
Wewe ndio muongo! ficha upumbavu wako! hivi zanzibar kusema watachimba mafuta yao wenyewe ndio uone hawana akili.

Wewe mtanganyika kuruhusu makampuni ya nje kuchimba dhahabu , tanzanite na almasi na kuvipeleka nje ya nchi ikikubakisha wewe masikini wa kutupwa nini unapta? na mafuta yoyte yatakombwa sasa wewe na wazenji wanaotaka kuchimba wenyewe nani ana akili?

Hivi jamii forums mie sielewi kabisa, kitu kama kinaletwa cha zanzibar kwa kuwa ni waislamu basi watu hawa hamna stara ya kuhangia na kuwapongeza hata kama thread ina maana fulani ! mbona ndugu zangu mna chuki ya kupitilza?

Uongo upo wapi? Naona povu linakutoka dogo hadi unaamua kuita wenzako wapumbavu ili uongeze idadi yenu ya hao watu. Angalia jinsi ndani ya ubongo wako kulivyojaa hewa tupu, kinaongelewa kingine unaingiza habari ya kuwa wazenji waislamu. Kama wazenji wote ni waislamu yale makanisamliyoyachoma moto yalikuwayanaongozwana Sheikh gani?. Kwenye udini hapo ndo mwisho wa fikra zenu maana chochote mtakachoongea lazima muitimishe na sera za udini.
 
Back
Top Bottom