Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 2,271
- 1,674
Mkuu unaelewa ulichokisema? Nakukumbusha kuwa humu huwa hamuna domokaya. Hem lete ushahidi.Zanzibar mnachuo kimoja tu kinaitwa Susy
Mkuu unaelewa ulichokisema? Nakukumbusha kuwa humu huwa hamuna domokaya. Hem lete ushahidi.Zanzibar mnachuo kimoja tu kinaitwa Susy
Vyuo vikuu Zanzibar vipo vingapi mkuu?Mkuu unaelewa ulichokisema? Nakukumbusha kuwa humu huwa hamuna domokaya. Hem lete ushahidi.
Unajizungumzisha ka mtu aliyekosa kichwa, kila taifa linaundwa na misingi yake, kaa kwa kutulia muungano utaenziwa kwa wivu mkubwa sana.Muungano uvunjwe tu hakuna namna
Hawa waarabu weusi wanachuki ya wazi kabisa na sisi
Tuanze na wale waliosema kuwa "kuna omba omba wanakuja Dar na kufanya kazi hiyo". Na kuna kipindi walirudishwa Dodoma kwa mabasi. Sijui na huu ulikuwa Ubaguzi au kuwasaidia wapate hifadhi nzuri.Sijaelewa hata kidogo kama ni ubaguzi ndani ya nchi moja. Au Zanzibar ni Kenya?
Hao ni wawekezaji. Kama vile wakinga walivyokuja Dar na Mikoa mingine.Kagusia Wapemba waliojaa bara wengi wao wakiwa waganga wa jadi?
Hujaelewa hoja, hapa tunazungumzia uhamiaji wa watu kati ya bara na Zanzibar.Hao ni wawekezaji. Kama vile wakinga walivyokuja Dar na Mikoa mingine.
Kwa kukuelewesha tu ni hivi- Kuna wahamiaji toka mkoa kwenda mkoa mwingini - Hata Takwimu za serikali zipo.
Hii si kwa nia mbaya bali ni swala la Serikali kujua jinsi ya kujipanga katika Makazi, huduma kama hospitali, shule n.k.
Mbaya zaidi linapokuja suala la watoto. Hili ni suala muhimu sana kufuatilia. Sina maelezo zaidi hapa kwani wote mnafahamu.
Mkuu nilikuambia ulete ushahidi lkn hukuuleta, sasa unaniuliza tena mimi! Kwa kuwa nakuheshimu, nakusaidia. Tanzania kuna vyuo vikuu 48. Kati ya hivyo, vitatu viko Zanzibar, navyo ni state university of Zanzibar (SUZA) - siyo susy kama ulivyoandika, Zanzibar university na university college of education.Vyuo vikuu Zanzibar vipo vingapi mkuu?
Mkuu nahuheshimu pia sn tu, Wazanzibar wengi wanasoma bara na siyo Zanzibar, hata hivyo vyuo kama siyo vyote vimejengwa kwa pesa wa wabara kama ilivyo serikali yenu inavyohudumiwa(budget) na baraMkuu nilikuambia ulete ushahidi lkn hukuuleta, sasa unaniuliza tena mimi! Kwa kuwa nakuheshimu, nakusaidia. Tanzania kuna vyuo vikuu 48. Kati ya hivyo, vitatu viko Zanzibar, navyo ni state university of Zanzibar (SUZA) - siyo susy kama ulivyoandika, Zanzibar university na university college of education.
Kwa mujibu wa sensa ya mwisho, Zanzibar ina wakaazi 1.8 milioi. Tanzania Ina watu 62 milioni. Maana yake Bara (Tanganyika) ina watu 60 milioni.
Kwa hesabu rahisi, kama Zanzibar ina watu 2 milioni - kwa kupeleka mbele (to the nearest whole number), na ina vyuo vikuu vitatu, Tanganyika ilipaswa kuwa na vyuo vikuu 90 ili iwiane na Zanzibar kwa kutumia mahesabu ya darasa la sita:
If 2 ml have 3 universties
Therefore 60 mil = 60 x 3/2 = 90.
Mkuu, nikuombe tu kwamba usicheze na Zanzibar sio saizi yako. Na pia jitahidi ukiandika uwe na ushahidi, vininevyo utaonekana mjinga (ignorant).
Zawadini
..Wazanzibar wanaona fahari kuitaja nchi yao.Halafu wao wamejaa huku Bara a vibiashara vyao vya maduka ya maarabu/mpemba. Na tuna kaa kimya
Bara kuna wazanzibar zaidi ya milioni 5 akiwemo maza, siyo kweli kuwa Wazanzibar mpo 1.8 ni zaidi ya milion 7 sema wengi wanajiita wabara lakini siyo kweliMkuu nilikuambia ulete ushahidi lkn hukuuleta, sasa unaniuliza tena mimi! Kwa kuwa nakuheshimu, nakusaidia. Tanzania kuna vyuo vikuu 48. Kati ya hivyo, vitatu viko Zanzibar, navyo ni state university of Zanzibar (SUZA) - siyo susy kama ulivyoandika, Zanzibar university na university college of education.
Kwa mujibu wa sensa ya mwisho, Zanzibar ina wakaazi 1.8 milioi. Tanzania Ina watu 62 milioni. Maana yake Bara (Tanganyika) ina watu 60 milioni.
Kwa hesabu rahisi, kama Zanzibar ina watu 2 milioni - kwa kupeleka mbele (to the nearest whole number), na ina vyuo vikuu vitatu, Tanganyika ilipaswa kuwa na vyuo vikuu 90 ili iwiane na Zanzibar kwa kutumia mahesabu ya darasa la sita:
If 2 ml have 3 universties
Therefore 60 mil = 60 x 3/2 = 90.
Mkuu, nikuombe tu kwamba usicheze na Zanzibar sio saizi yako. Na pia jitahidi ukiandika uwe na ushahidi, vininevyo utaonekana mjinga (ignorant).
Zawadini
Kwanza huu muungano fake uvunjwe..Wazanzibar wanaona fahari kuitaja nchi yao.
..sisi tunaona aibu na kujiita majina kama wabara, wakati tuna nchi yetu inaitwa TANGANYIKA.
..Tufuate utaratibu huu ktk maongezi yetu.
..ukitaja Zanzibar, taja Tanganyika.
..ukitaja Tanzania Bara, taja Tanzania Visiwani.
..ukitaja visiwani, taja bara.
Na huku bara kuna wahamiaji halali kutoka Zenji..!!
Mkuu ingefaa sana ukaiambia serikali (JMT) iliyofanya sensa na kutoa hizo takwimu. Mimi nakupa ushahidi wa yaliyofanywa, tena yaliyofanywa kwenu. Hili la milioni 7 nalo liltolee ushahidi. Ikiwa huna ushaidi wewe ni muongo kama waongo na waropokaji wengine. Kumbuka: Hapa tunajadili mambo kwa hoja nasio domokaya.Bara kuna wazanzibar zaidi ya milioni 5 akiwemo maza, siyo kweli kuwa Wazanzibar mpo 1.8 ni zaidi ya milion 7 sema wengi wanajiita wabara lakini siyo kweli
Kwanza huu muungano fake uvunjwe
Kwamba wazanzibar hawapo huku bara? VEOs, walimu, afya wapo wengi sn kwenye utumishi wa umma na KariakooMkuu ingefaa sana ukaiambia serikali (JMT) iliyofanya sensa na kutoa hizo takwimu. Mimi nakupa ushahidi wa yaliyofanywa, tena yaliyofanywa kwenu. Hili la milioni 7 nalo liltolee ushahidi. Ikiwa huna ushaidi wewe ni muongo kama waongo na waropokaji wengine. Kumbuka: Hapa tunajadili mambo kwa hoja nasio domokaya.
Mi siwataki wazanzibar hata kidogo..tutauvunja vipi wakati Watanganyika tumejikana tunapendelea kuitwa Tanzania bara?
Mi siwataki wazanzibar hata kidogo
Wanapendelewa sn..jambo la msingi ni kuwa na HAKI SAWA ktk muungano.
Mkuu nakubaliana nawe kwamba Wazanzibari wengi wanasoma Bara. Hii, kwa hivyo, inadhihirisha kwamba Wazanzibari wanasoma sana, yaani wanajaza vyuo vyao na kuja kwenu kukupigeni push kujaza vyuo vyenu kwani wenyewe munashindwa kuvijaza, au Wanakuingizieni faida kwa karo wanazolipia.Mkuu nahuheshimu pia sn tu, Wazanzibar wengi wanasoma bara na siyo Zanzibar, hata hivyo vyuo kama siyo vyote vimejengwa kwa pesa wa wabara kama ilivyo serikali yenu inavyohudumiwa(budget) na bara