SMZ kulipa garama zote za uharibifu wa makanisa

Naam! Inabidi kodi zao zitumike kujenga makanisa! Sijui watajisikiaje tena!! Wanaruka mkojo wanakanyaga mavi!!
 
Mh Aboud waziri ktk ofisi ya makamu wa Rais amesema hayo.

Aboud amesema "..waliochoma makanisa ni wahuni", kwa waliosoma heasabu wanaweka hivi.

Waliochoma=Wahuni,
Wahuni=Uamsho
Uamsho=waislamu
Waislamu=Wanatawala znz,
Watawala=Wazanzibar
Wazanzibar=waliochoma
Kwa hiyo basi, Wazanzibar ni Wahuni! na Wahuni ni wanauamsho =waislamu!
 
Likipigwa na la kulia mashavu yanaisha (mashavu yapo mawili tu), kwa hiyo next time unamgeuzia kibao. Usimruhusu aanze kurudia mashavu aliyokwisha piga tayari.

Tuna mpango wa kuongea na viongozi Wa kikristo ili jambo hili lipelekwe kwenye jumuiya ya kimataifa.
Kwani serikali inaonekana kufumbia macho.
 
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa.

Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka ulinzi mpaka jana wakachoma tena makanisa mawili? Hii serikali inafanya upendeleo ndiyo maana wakristo zanzibar wanaharibiwa mali zao serikali inakaa kimya haichukui hatua.

Mfano vibanda vya watanganyika vilichomwa wakaa kimya!.

Wakachoma mabaa mengi tu,serikali ikakaa kimya hakuna hatua zilizochukuliwa.

Sisi watu wa bara hasa wa KRISTO tunasikitishwa sana na uonevu huo unaotokea huko zanzibar.

Kama watu wanafika mahali wanachoma makanisa laana hii haitawaacha salama!

Bangoo. Rimoy
box 1212
Arusha Tanzania.


Ndugu wakristo wa jamvini,

Ni lazima mkumbuke kwamba Zanzibar ni nchi ya waislamu na kwa muda mrefu kama ilivyo ulimwenguni kote hawaruhusiwi kujitawala kwa mujibu wa SHARIA ya kiislamu. Ni SHARIA ndiyo ambayo inawafundisha waislamu namna gani ya kutawala nchi na kulinda mali za wananchi wakiwemo wasiokuwa waislamu (Mayahudi, Wakristo, Wahindu, Mabudha, nk, nk.)Hii ni pamoja vile vile na kuzuiya kasi ya kuenea na mwishowe kuondosha kabisa machafu yanayoenea ulimwenguni ikiwemo Zanzibar na Tanzania kwa ujumla. Sio nyinyi waKristo au dini nyengine yeyote itakayoweza kufanya hivyo. Mtamfanya nini nyie yule Padri/Paster!!! ambaye mkewe ni mwanaume mwenziwe na anahalalisha hivyo kwa mujibu ya mafundisho/au kutokuwepo makatazo ya jambo hilo (huru kulifanya) kwa mujibu wa Biblia???? Ma-secularists "waislamu" ni wanafiki tu na katu hawawezi kulinda mali zenu wala kuihifadhi dini yenu. Ni Waislamu tu na watakapopata uhuru wa kuendesha nchi KIISLAMU ndio baraka na utulivu wa dini yao na yenu ndio utapatikana. Hilo lijueni wazi.

Ulimwengu unabadilika na kundi miongoni mwa waislamu (sio ma-secularists)na sio Zanzibar tu, bali ulimwenguni kote wamo katika mchakato wa kuzindua UISLAMU katika ngazi za kiutawala na kimaisha.

Tatizo lenu ni kwamba mmeamua kufungamana na movements/mitazamo/systems za Kizayuni (Zionizm) na Kikafiri za Kimagharibi (Western idolatory) ikiingizwa kama "Western democrasy" na kwa hiyo mnashiriki katika njama za kuufisha/kuuua uislamu na maadili ya kiislamu. Hii haikusaaidieni nyinyi wala waislamu, lakini Waislamu wanayo haki katika nchi yao na ni lazima wasimame kidete kwakuwa ile ni nchi yao na wataulizwa kwa hiyo kama amana kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Kuharibika kwa maadili ya kiislamu kunakosimamiwa na "Secularist Muslims" ambao ni wanafiki wasio na shaka (kwakuwa kutoamini au kuosimamisha SHARIA ni lazima kwa nchi ya waislamu), nyinyi ndio furaha yenu kwakuwa ndio mnaona upenyo wa ku-mushrooming katika ardhi ya waislamu. Hamfanyi hivi by accident, bali ni kwa mikakati maalum (WAULIZENI VIONGOZI WENU HILI MNAPOFIKA MAKANISANI). Ndio maana tunapitia katika kipindi hichi cha machafuko. Nanyinyi bado mna-consider hiyo ni opportunity, masikini roho zenu.

Kwa kifupi hii haikusaidieni nyinyi, dini yenu wala waislamu. Kwa uchache tu mtakapoipata nchi mtaamrishwa na wakubwa wemu (Wazayuni na Wamagharibi) kuweka "official" kwamba mnaweza kuoana wanaume-kwa-wanaume na wanawake-kwa-wanawake katika jamii zenu, uchafu zaidi na zaidi ya "unofficial" ya wanauruhusu hawa Masecularists-waislamu-wanafiki.

Kuweni na vision
 
Iwapo wazanzibari hawautaki muungano mbona dawa ni ndogo tu!!! Hivi ndio kusema Wanzanzibari hawana habari kwamba kati ya vyama vyote vya siasa ni Chadema tu ndio walio na sera za kutaka wazanzibari wenyewe wajadili aina ya muungano wanaoutaka?? Hivi hawa ndugu zetu waislamu wanaliona hilo? Mbona hata punguani anajua muungano ni wa ccm na cuf kwa maslahi ya wachache? Kazi ndogo sana hapo!! Vurugu za nini? Ipeni kura Chadema kupambazuke!!
 
Back
Top Bottom