SMZ kulipa garama zote za uharibifu wa makanisa

Jamani watanganyika (Azania) wenzangu tusiumize vichwa kwani hata hao SUK nao si ndio hao hao 2? Hawa watu hamna kulemba swala kwamba na sisi huku bara tuandae maandamano makubwa mapaka ikulu ya kupinga huu muungano na ss tuwe taifa huru kwani sijui kwann bado tunawabembeleza watu ambao tunawahudumia? Baada ya hapo tuone kama watasomea wapi?.
mzee wetu mzee mtei baba msema ukweli na misimamo hebu toa tamko tena kwani uliposema kuhusu tume ya katiba wengi walikupuuza na sasa tunayaona haya.
 
Hivi jeshi la polisi si ni moja nchi hii? Ile intelijensia ya mwema ililala? Inakuwaje kasehemu kadogo kama unguja watu wachome moto na wapotee wote bila kukamatwa?!

Yawezekana uamsho ni manyangumi wanaishi nchi kavu na baharini hivyo walivyomaliza kuchoma walitokomea haharini
 
Hii ina maanisha wameshindwa kuwakamata wahalifu au ni kujikosha tu?

Kweli SUK inawaza Kizenji. Yaani Mali iharibiwe na Wahuni, badala ya kuwabana Wahuni walipe si Makanisa tu bali na Mali nyingine za Watu walizoziharibu, wao wanatumia Kodi za Wananchi kuwalipia Wahuni! Hii inatia shaka kama nao hawahusiki na Uchomaji huu.
 
Tuacheni maneno ya kiuchochezi serekali imetoa ulinzi wa kutosha na tamko pia na si kweli kama kumendeelea kuchomwa kwa makanisa.
Tuwe tusizarau serekali iliowekwa na wanchi ni difirmition katika sheria.
 
Serikali ya mapinduzi zanzibar imesema italipa garama zote za matengenezo ya makanisa yalioharibiwa.

Swali la kujiuliza kama kanisa la kwanza lilichomwa juzi, je serikali ilishindwaje kuweka ulinzi mpaka jana wakachoma tena makanisa mawili? Hii serikali inafanya upendeleo ndiyo maana wakristo zanzibar wanaharibiwa mali zao serikali inakaa kimya haichukui hatua.

Mfano vibanda vya watanganyika vilichomwa wakaa kimya!.

Wakachoma mabaa mengi tu,serikali ikakaa kimya hakuna hatua zilizochukuliwa.

Sisi watu wa bara hasa wa KRISTO tunasikitishwa sana na uonevu huo unaotokea huko zanzibar.

Kama watu wanafika mahali wanachoma makanisa laana hii haitawaacha salama!

Bangoo. Rimoy
box 1212
Arusha Tanzania.

Mkuu sidhani kama hapo upo sahihi, upendeleo gani huo?, je imewakamata waliochoma na kuwaachia?, je kuna kanisa limepeleka taarifa za kuhusu aliyechoma na serikali kuipuuza kuwa ni ya uongo?. Sidhani spin kama hizi zinajenga. Tuache serikali ifanye kazi yake, wasiwasi wangu mimi ni kuwa huenda hujuma hizi za uchomaji zinafanywa na high level group lenye nia ya ku-undermine harakati za UAMSHO. Unajua serikali inaweza kuifanya nchi ikawa mahali salama au hatari pa kuishi kwa matendo fulani.

Kama kanisa la kwanza lilichomwa ni dhahiri serikali makini ingeweka ulinzi kwa makanisa mengine mpaka hali itakapotulia, kitendo cha makanisa mengine kuchomwa siku mbili baadae kinaokesha kuwa ama serikali imelala au inahusika moja kwa moja katika hujuma hizi ili kupatia sababu za kuwazuia Uamsho. Na inawezekana ndiyo sababu za wao kutangaza kuyatengeneza makanisa hayo.
 
Hii ishu ya Zanzibar inazidi kunichanganya aisee.
Inawezekana haya makanisa hayajachomwa na watu tunaowafikiria.
 
Badala ya ku-dili na chanzo ambacho hata hivyo kinajulikana wao wanashughulikia matokeo,
then wanasubiri makanisa mengine yachomwe ili kesho walipe, stupid government.
 
Kama smz ilishindwa kuwalinda huo msaada hatuuhitaji kwa kuwa kama walichoma la mwanzo mkaacha mpaka wakachoma mengine ma wili. Serikali hapo hamna cha kukwepa kwamba mpo nyuma ya hawa waliofanya ushenzi huo.wa kristo popote mlipo smz inawabagua.
 
Kwa hicho hao waislamu wa ZNZ walitutufanyia wakristo NAPINGANA VIKALI KANISA KUPOKEA HUO MSAADA WAO,hatuna haja ya pesa,Kwa hiyo walichoma ili watulipe.
Siasa zote zimeanzia msikitini na mipango yote msikitini ni kiongozi gani asiyeenda msikitini?na waliokamatwa ni maimamu,hatuitaji pesa ya smz tutajenga wenyewe.

Mheshimiwa Lowassa, nenda Znz hamasisha michango ya kukarabati makanisa yaliyochomwa moto na hao waislamu. Kanisa kataeni misaada toka serikali ya ZNZ maana hao wote na waliochoma lao ni moja.
 
Hivi haiwezekani Uislam ukahubiriwa bila kushambulia/shutumumu Ukristo?...
 
Inaanza hivi hivi baadaye unasikia serikali inaomba mazungumzo na Uamsho kama Boko Harum kule Nigeria
 
Hivi haiwezekani Uislam ukahubiriwa bila kushambulia/shutumumu Ukristo?...

Mkuu haiwezekani maana Muhammad mwenyewe alikuwa na chuki kubwa mno na Wakristo/Wayahudi na Ukristo/Dini ya Kiyahudi! So like a father like a son!
 
Nasikitika sana wasomi wakikirsto kutwa kucha humu wakililia vikanisa baada ya kujadili jambo muhimu
 
Back
Top Bottom