dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,500
- 3,481
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema kuwa watumishi wa umma kisiwani Pemba watakao bainika kuwa wanatoa huduma kwa ubaguzi kwa wananchi kama azimio la utekelezaji wa Chama cha CUF la kuto mtambua Rais wa Zanzibar na viongozi wa Serikali watawafukuza kazi kutokana na vitendo hivyo kwenda kinyume na sheria za utumishi na haki za Binadamu.