Sms za USSD biashara yake inafanyikaje?

happyxxx

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
568
1,847
Naomba kufahamu namna mtu anaweza kufanya investment ya meseji za USSD codes.

Nani service provider hapa bongo?

Charges zake zipoje?

Wanaofanya wanapataje faida?

Opportunities zake zipoje kwa sasa hapa Tanzania?
 
Unaongelea USSD au Short SMs codes
Nafikiri ndio itakuwa hizo short sms codes, yani zile meseji zinakua kwenye mfumo fulani mfano unaweza tuma neno fulani kujiunga au kuna kampuni wanakuwa na huduma fulani ukiuliza swali SMS zinajibu automatically au zingine zinakua kama reminder baada ya muda flani mteja au mtu fulani anatumiwa meseji
 
Hiyo project ilikuwa chini ya marehem CPWAA(mwanamuziki) hebu tafuta watu wake wa karib watakusaidia nadhan

Nadhan unazungumzia zile sms kutoka namba Mfano 1550
1530
N.k?
 
hizo sms zinaitwa bulk ila unaweza kuzinunua kupitia kampuni yoyote kutokana na kazi unayo taka hata ukitaka ije na jina lako,jina la kampuni,namba na n.k
 
Okay mimi nataka kufanya zaidi na program za wafadhili za afya ndio wawe clients wangu
Hiyo ni Huduma ya Bulk SMS kama Ilivyoainishwa na Wadau Kadhaa Hapo Juu. Unaweza Kufanya Na Kampuni ya/Za simu moja Kwa Moja ama kupitia Kwa Third party, Ukifanya na Kampuni ya Simu moja Kwa Moja ni nafuu zaidi ila inakupasa Uwe na Ufahamu + Mfumo utakao kuwezesha Ku 'Integrate' na Mfumo wa SMSC wa Kampuni ya Simu husika. Ukitumia Third party Kama vile NextSMS, Bongolive etc utakachotakiwa ni ku tengeneza account yako na kuomba Sender Id Kisha Mengineyo yatafanywa na Huyo third party.
 
dada anazungumzia kitu kama WEFARM ile ya wakulima, ni tofauti kidogo na hichi usemacho.
 
Nafikiri ndio itakuwa hizo short sms codes, yani zile meseji zinakua kwenye mfumo fulani mfano unaweza tuma neno fulani kujiunga au kuna kampuni wanakuwa na huduma fulani ukiuliza swali SMS zinajibu automatically au zingine zinakua kama reminder baada ya muda flani mteja au mtu fulani anatumiwa meseji
Hizo ni short codes. Waone Onfonmedia Tanzania kama bado una uhitaji wa huduma hiyo. Wana provide na USSD services. Siku hizi kuwa pia za watsup waweza nichek kwa maelezo zaidi.
 
Naomba kufahamu namna mtu anaweza kufanya investment ya meseji za USSD codes.

Nani service provider hapa bongo?

Charges zake zipoje?

Wanaofanya wanapataje faida?

Opportunities zake zipoje kwa sasa hapa Tanzania?
Sijui kama hii itasaidia
 
Attachments

  • GN - 65 THE ELECTRONIC AND POSTAL COMMUNICATIONS REGULATIONS (LICENSING)(AMENDMENT) REGULATION...pdf
    686.8 KB · Views: 27
Naona kuna mchanganyiko wa bulk SMS na USSD services. Sijajua haswa niuite mfumo gani

Ila huu nataka uwe unaruhusu Q&A pia.

Hizo gharama za tcra mbona kubwa sana yani leseni mpaka USD 2000 na kureneww kila mwaka ni USD 2500 😳😳😳😭😭😭

Namna hii kutoka lazima uwe na kipato kidogo mtaji tu hautoshi.

Hapo bado gharama za mfumo duuh nachokaa 😓😓😓🥺🥺🥺
 
Shida ni kuwa umekuja kuuliza solution badala ya ku pose tatizo ili upate optima solution.
Ushauri wangu ni ule ambao wengi hatuupendi. Tafuta Consultant, mlipe akushauri.
Utaokoa fedha sana! Ukimfanya Google consultant get ready to pay the price too!
 
Back
Top Bottom